Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Watoto wachanga Ukraine wapewa majina ya makombora
Kimataifa

Watoto wachanga Ukraine wapewa majina ya makombora

Spread the love

WATOTO wawili waliozaliwa nchini Ukraine katika siku za hivi karibuni wamepewa majina ya makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa nchini Uingereza.

Watoto hao walikuwa mvulana anayeitwa Yan Javelin na msichana aliyeitwa Javelina.

Majina hayo yasiyo ya kawaida yalisajiliwa katika Jimbo la Vinnytsia.

Mke wa rais wa zamani wa Ukraine, Kateryna Yushchenko alisema ni ishara ya shukrani kwa silaha za Magharibi ambazo zimetumwa Ukraine.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Tanzania, Somalia kuibua maeneo mapya ya ushirikiano

Spread the love  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia...

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

error: Content is protected !!