Saturday , 20 April 2024
Home Kitengo Biashara NMB yashiriki uzinduzi mbio za Mwenge
Biashara

NMB yashiriki uzinduzi mbio za Mwenge

Mkuu wa kitengo cha biashara za Serikali wa Benki ya NMB, Vicky Bishubo akifurahia jambo na Spika mstaafu, Anne Makinda
Spread the love

MBIO za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zimezinduliwa Jumamosi ya tarehe 2 Aprili 2022 na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango mkoani Njombe. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Mwenge huo utakimbizwa katika mikoa yote 31 ya Tanzania Bara na Zanzibar na utahitimishwa tarehe 14 Oktoba 2022, mkoani Kagera.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Waziri Kindamba (wapili kushoto) akiwa na Mkuu wa kitengo cha biashara za Serikali wa NMB, Vicky Bishubo (wa kwanza kushoto). Kulia ni meneja Mahusiano wa NMB Biashara za Serikali, Peter Masawe na wapili kulia ni Meneja mwandamizi wa Biashara za serikali, Josephine Kulwa.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Isdor Mpango (wapili kushoto) akisalimiana na mkuu wa kitengo cha Biashara za Serikali wa NMB, Vicky Bishubo (mwenye koti jeusi) baada ya kuuwasha rasmi Mwenge wa Uhuru mkoani Njombe ambapo alikuwa mgeni rasmi. Kulia ni Spika mstaafu, Anne Makinda.

Benki ya NMB ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki uzinduzi huo. Pichani ni matukio mbalimbali wa viongozi wa benki hiyo kinara Tanzania.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wauguzi, madaktari 1000 kugawiwa mitungi ya Oryx Gas

Spread the loveKAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation...

BiasharaHabari za Siasa

Mavunde aagiza Perseus kuharakisha fidia Sengerema

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameipongeza Kampuni ya Perseus kwa...

Biashara

Black Gold kasino mgodi wa madini Meridianbet 

Spread the love  Dhahabu ni moja kati ya utajiri wenye thamani kubwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika

Spread the loveUbunifu wa bidhaa bora wa Benki ya NMB pamoja na...

error: Content is protected !!