October 3, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Sakata la mtoto: Mwili wafukuliwa Dar

Spread the love

 

MWILI wa mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minane aliyepoteza maisha ikidaiwa ni kutokana na ukatili wa kimwili na kingono, umefukuliwa na Polisi mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na kufanyiwa uchunguzi. Anaripoti Gabriel Mushi, Dar es Salaam … (endelea).

Mwili huo ulifukuliwa juzi Jumatano saa 6.10 mchana katika makaburi ya Mwananyamala, Dar es Salaam na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Mtoto huyo alifariki dunia tarehe 24 Februari 2022, katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, Dar es Salaam na kuzikwa katika makaburi hayo 24 Februari 2022.

Undani wa habari hii na kujua kilichosababisha hadi mwili huo ufukuliwe, soma gazeti la Raia Mwema la leo Ijumaa tarehe 4 Machi 2022.

error: Content is protected !!