Tuesday , 21 May 2024

Month: April 2024

Biashara

420 Blaze It chimbo jipya la kuchota mihela Meridianbet kasino 

  JE, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet Kasino ya...

Michezo

EPL, Ligue 1 na Coppa Italia kinawaka leo

  LEO ligi kadhaa zitaendelea nchini barani ulaya ikiwemo ligi pendwa kabisa nchini Uingereza, Lakini pia ligi kuu nchini Ufaransa itapigwa michezo kadhaa...

Habari Mchanganyiko

THRDC yaongeza mkataba wa ushirikiano na ABA

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesaini mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Dola za Kimarekani 70,000 (Sh....

Habari Mchanganyiko

Rufaa ya Equity Benki, State Oil yakwama

MAHAKAMA ya Rufani, jijini Dar es Salaam, imeshindwa kuendelea na usikilizwaji wa shauri la rufaa lililokatwa na Benki ya Equity Tanzania Limited na...

Biashara

Exim yawainua kiuchumi wanawake wajasiriamali kupitia mpango wa WEP

  BENKI ya Exim kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (WEP), imetoa mafunzo kuhusu masuala ya ujasiriamali, biashara, na uwezeshaji kwa wanawake...

Habari za SiasaTangulizi

Biteko ataja vipaumbele 7 bajeti nishati 2024/25

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametaja vipaumbele saba vya bajeti ya wizara yake ambavyo ni pamoja na...

ElimuHabari Mchanganyiko

Ugawaji taulo za kike watajwa kutokomeza utoro shuleni

BAADHI ya wanafunzi na walimu wa shule za sekondari mkoani Geita wamesema zoezi la ugawaji wa taulo za kike kwa ajili ya kuwasitiri...

BiasharaMichezo

NBC yaunga mkono jitihada kutokomeza malaria

Kuelekea Maadhimisho ya siku ya malaria Duniani yatakayofanyika kesho Aprili 25, 2024 mkoani Tabora, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Baraza...

Habari Mchanganyiko

Bodaboda waeleza mafanikio mafunzo usalama barabarani

MADEREVA bodaboda katika Jiji la Dodoma wameeleza jinsi mafunzo ya elimu ya usalama barabarani yalivyo wafumbua macho na kuwafanya kufahamu sheria mbalimbali za...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaahidi kuendelea kuunga mkono Serikali za Mitaa

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) katika...

Michezo

Arsenal dhidi ya Chelsea ngoma nzito leo EPL

  Leo kutakua na mchezo mkali sana pale kwenye ligi pendwa kabisa ulimwenguni ligi kuu ya Uingereza ambapo ni Derby day ambapo miamba...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa 12 wa kilo 726.2 za dawa za kulevya wafikishwa mahakamani

  WATUHUMIWA watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoani Pwani jana tarehe 22 Aprili, 2024 wakikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Kampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya Akmenite Limited Lithuania, inatarajia kutumia dola za Marekani milioni 15 (Sh 38.9 bilioni)...

Habari Mchanganyiko

GGML yasisitiza kuendelea kuimarisha afya za wafanyakazi

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited kwa kushirikiana na kampuni mbalimbali imeahidi kuendelea kusimamia mipango ya kuimarisha na kusimamia afya za wafanyakazi dhidi...

Habari za SiasaTangulizi

Mpwa wa Magufuli mbaroni kwa kusambaza picha za utupu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili akiwamo mpwa wa hayati John Magufuli, Furaha Dominic kwa tuhuma za...

Biashara

Shindano la Expanse Meridianbet kasino kutoa mihela kwa washindi 

  KILA siku Meridianbet imekuwa mstari wa mbele kutoa fursa kwa kila mtu kutengeneza pesa anavyoweza, kupitia promosheni ya shindano la Expanse, unaweza...

Habari za Siasa

Serikali kuanzisha mradi wa Gridi ya maji ya Taifa

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025, Serikali inatarajia kuajiri mtaalam mshauri atakayefanya upembuzi yakinifu wa mpango wa...

Habari za SiasaTangulizi

Shibuda amlima waraka mzito Bulembo

MKONGWE wa siasa nchini, John Shibuda amemshukia kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Mulembo, aliyempinga Mbunge wa Kisesa, Lwaga Mpina. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Samia aridhishwa utendaji mabalozi, awapa neno

Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi  wanaowakilisha  Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

NMB yadhamini Mkutano Mkuu ALAT, kufunguliwa na Samia

BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. 120 milioni kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za...

Biashara

Bonasi za kasino kupitia shindano la Expanse na Meridianbet 

  MERIDIANBET Kasino ya Mtandaoni ni moja ya chimbo rahisi la kutengenezea pesa, kupitia promosheni, bonasi za kasino, na michezo mingi ya kasino...

Habari Mchanganyiko

DC ampongeza Dk. Rose Rwakatare kwa kusaidia waathirika wa mafuriko Mlimba

MWENYEKITI wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk.  Rose Rwakatare ametoa msaada wa tani tano za mchele kwa waathirika wa mafuriko wa jimbo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mipango na uwekezaji kutumia bilioni 121.3, mradi wa Bagamoyo wapewa kipaumbele

WIZARA ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, imeliomba Bunge liidhinishe bajeti yake ya kiasi cha Sh. 121.3 bilioni, katika mwaka ujao wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mbunge ataka kasi uzalishaji walimu ipunguzwe akidai hakuna ajira

MBUNGE wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya uzalishaji wahitimu katika taaluma ambazo nafasi za ajira zimepungua ikiwemo walimu, badala...

Habari Mchanganyiko

DCEA yakamata kilo 767.2 za dawa za kulevya, 21 mbaroni

  MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 767.2 za dawa za...

ElimuHabari za Siasa

MbungeCCM ataka kasi uzalishaji walimu ipunguzwe akidai hakuna ajira

  MBUNGE wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya uzalishaji wahitimu katika taaluma ambazo nafasi za ajira zimepungua ikiwemo walimu,...

Habari Mchanganyiko

Mipango na uwekezaji kutumia bilioni 121.3, mradi wa Bagamoyo wapewa kipaumbele

  WIZARA ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, imeliomba Bunge liidhinishe bajeti yake ya kiasi cha Sh. 121.3 bilioni, katika mwaka ujao...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC yanogesha Derby Kariakoo, Aziz Ki aibuka mchezaji bora Machi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League juzi Jumamosi...

Biashara

Toshiba yapata kibali cha kuzalisha vifaa umeme kukarabati kiwanda cha nishati ya jotoardhi Kenya

  KAMPUNI ya Toshiba Energy Systems & Solutions Corporation (Toshiba ESS) imefanikiwa kupata kibali kutoka kwa SEPCOIII Electric Power Construction Co., Ltd. kwa...

Michezo

Ujanja ni kubeti na Meridianbet

  JUMAPILI ya leo imekaa kihela hela sana ndani ya Meridianbet yaani kuna ODDS KUBWA kuanzia ligi ya hapa nyumbani mpaka kule Ulaya,...

Habari za Siasa

Makamba ataja maeneo ya kuboresha mambo ya nje

  WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo yatajajadiliwa katika warsha...

Habari Mchanganyiko

OSHA watakiwa kuwa wakali kwa waajiri, wawekezaji wasiozingatia sheria

WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), umetakiwa kuwa wakali na kuhakikisha sheria, taratibu na kanuni za usalama na afya mahali...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaja na “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako”  kuchochea biashara

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni mpya ya akiba inayofahamika kama “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako” mahususi kwa wateja wake wa...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi CBE waonyesha vipaji lukuki siku ya taaluma

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinakusudia kuanzisha mafunzo ya uanagenzi kwa wanafunzi wanaosoma shahada ya masuala ya benki na fedha, metrolojia na...

Michezo

Anza Jumamosi yako na mkwanja wa Meridianbet

Jumamosi ya leo ODDS zimekaa kijanja sana ndani ya Meridianbet yaani ni kubwa kuanzia ligi ya hapa nyumbani mpaka kule Ulaya, hivyo unachotakiwa...

Habari za Siasa

Dk. Mwakyembe : Zanzibar waliongoza kutaka Serikali 2 za muungano

  MWANASIASA mkongwe nchini, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema mjadala wa muundo wa Serikali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliposhika kasi 1998, wazanzibar...

Habari Mchanganyiko

Gardner Habash wa Clouds Fm afariki dunia

ALIYEKUWA mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha Redio cha Clouds Fm, Gardner G Habash, maarufu kama Captain, amefariki dunia leo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataja mikakati ya kufikia trilioni 2 biashara Uturuki, Tz

Wakati Tanzania na Uturuki zikidhamiria kuongeza kiwango cha biashara hadi kufikia Dola za Kimarekani bilioni moja (Sh trilioni 2.5), ndani ya mwaka mmoja...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wauguzi, madaktari 1000 kugawiwa mitungi ya Oryx Gas

KAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wameingia makubaliano kuwezesha nishati safi ya kupikia kwa wauguzi na madaktari 1000 kutoka...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yachaguliwa Makamu wa Rais Tume ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani

  TANZANIA kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Tume ya Shirika la Hali ya Hewa...

Habari Mchanganyiko

NEMC yaonya wanaojenga bila tathmini ya mazingira

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewaonya watu wanaojenga miradi bila kupata Cheti cha Tathmini ya Mazingira EIA kwenye...

Michezo

Tusua mkwanja na mechi za Ijumaa leo

  LEO hii mechi zinaendelea kote na wewe kama unataka kuwa mshindi, ingia meridianbet usuke mkeka wako haraka na ubashiri kwa usahihi ujiweke...

BiasharaHabari za Siasa

Mavunde aagiza Perseus kuharakisha fidia Sengerema

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameipongeza Kampuni ya Perseus kwa kufanikiwa kukamilisha wa mchakato wa ununuzi wa hisa za Kampuni ya Ore Corp...

Habari za Siasa

Kigogo Chadema awanyooshea vidole vigogo serikalini kuhusu ripoti ya CAG

  MWANACHAMA wa Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amedai kuna baadhi ya vigogo serikalini wana mitandao ya uchotaji fedha katika mapato na...

Biashara

Black Gold kasino mgodi wa madini Meridianbet 

  Dhahabu ni moja kati ya utajiri wenye thamani kubwa sana, Mabenki na wafanyabiashara wakubwa hutumia dhahabu kutunza ukwasi wao, Meridianbet kasino ya...

Habari za Siasa

Wabunge waikalia kooni TAKUKURU Bungeni

  BAADHI ya wabunge wamelia na changamoto za utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), wakidai imekuwa chanzo cha vitendo...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina ataka Waziri Majaliwa ajiuzulu, akosoa teuzi za mawaziri

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ajiuzulu kwa madai kuwa maagizo 12 aliyoyatoa mwaka 2023 kuhusu migogoro ya...

Habari za Siasa

CCM yakemea ufisadi, yaipa kibarua TAKUKURU

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea vitendo vya ubadhirifu wa fedha za miradi inayoendelea kujengwa nchini, huku ikiiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

Habari za Siasa

Bajeti ya Ikulu 2024/25 kuongezeka, bunge laombwa kurudhia Sh. 1.1 trilioni

  WIZARA ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imeliomba Bunge liidhinishe bajeti yake ya kiasi cha Sh....

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika

Ubunifu wa bidhaa bora wa Benki ya NMB pamoja na uwekezaji wenye tija inaoufanya kuwahudumia wateja kwa ufanisi vimekuwa kivutio kikubwa kwenye mkutano...

error: Content is protected !!