Robo fainali ya tatu nan ne zitaendelea tena hii leo kwenye viwanja tofauti, ambapo Jijini Dar es Salaam mabingwa watetezi wa michuano...
By Kelvin MwaipunguMay 26, 2021MBUNGE wa Biharamulo (CCM), Ezra Chiwelesa, ameiomba Serikali ijenge Barabara ya Nyamirembe-Chato mpaka Katoke Biharamulo , kwa kiwango cha lami, ili kurahisisha...
By Hamisi MgutaMay 26, 2021Manchester United leo itashuka dimbani kumenyana na Villarreal kwenye fainali ya kombe la Europa ambao itapigwa kwenye dimba la Gudansk nchini Poland...
By Kelvin MwaipunguMay 26, 2021NCHI ya Tanzania na Saudi Arabia, zimeahidi kukuza ushirikiano katika biashara ya mazao ya kilimo pamoja na utalii. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeMay 26, 2021MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, amelishauri Bunge la 12 lijikite katika ajenda za kuchochea mapinduzi ya kilimo, kama Bunge...
By Masalu ErastoMay 26, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema italifanyia kazi ombi la kurejesha fedha za tozo ya mauzo ya nje ya nchi (Exporty Levy), ya zao...
By Mwandishi WetuMay 26, 2021DAKTARI Bashiru Ally, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, leo tarehe 25 Mei 2021, amesimama bungeni kwa mara ya kwanza na kutumia jukwaa...
By Regina MkondeMay 25, 2021Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watano, wanaotuhumiwa kumuuwa aliyekuwa mlinzi wa Baa, Regan Sylvester. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoMay 25, 2021KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Camillius Wambura, amesema ameanzisha operesheni maalum ya kupambana na wahalifu wanaotumia...
By Masalu ErastoMay 25, 2021Ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Mwadui FC kwenye robo fainali ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho (Azam Federation Cup)...
By Kelvin MwaipunguMay 25, 2021BAJETI ya Wizara ya Kilimo, kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022, imeongezeka kwa Sh. 64.3 bilioni (22%), kutoka Sh. 229.83 bilioni (2020/2021),...
By Regina MkondeMay 25, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amewaonya watu wanaojihusisha na uhalifu wa kutumia silaha (ujambazi), kwamba wasipoacha atawaonyesha ‘Show’....
By Hamisi MgutaMay 25, 2021RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ametoa onyo kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara juu ya matumizi mabaya...
By Kelvin MwaipunguMay 25, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameishauri Wizara ya Fedha na Mipango, iache kuchukua fedha za miradi ya maendeleo, za halmashauri...
By Mwandishi WetuMay 25, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Halima Mdee, amehoji kinachokwamisha utekelezaji Mpango wa Uboreshwaji Makazi ya Jiji la Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuMay 25, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘...
By Regina MkondeMay 25, 2021WAZIRI wa Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, amekiri uwepo wa tatizo la ukosefu wa ajira za ualimu nchini, akisema kwamba, nafasi zinazotolewa...
By Regina MkondeMay 25, 2021MBUNGE wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), Dk. Charles Kimei, ameiomba Serikali irudishe fedha za kodi zilizokusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...
By Masalu ErastoMay 25, 2021WIZARA ya Kilimo nchini Tanzania, imeshauriwa ibadilishe utendaji wake katika kuiendeleza sekta ya kilimo, kutoka kwenye mikakati ya nadharia kwenda kwa vitendo....
By Hamisi MgutaMay 25, 2021MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi (CCM), Nape Nnauye, ameiomba Serikali irudishe Bodi ya Korosho pamoja na fedha za tozo ya mauzo ya...
By Mwandishi WetuMay 25, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa taasisi za elimu nchini, kufanya utafiti juu ya mabadiliko ya teknolojia, ili kubaini...
By Masalu ErastoMay 25, 2021MARA baada ya klabu ya ASC Jaraaf ya Senegal kuondolewa kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Coton Sports...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2021KOCHA Luis Enrique amemuacha mlizi wa Reala Madrid Sergio Ramos kwenye kikosi cha wachezaji 25 cha timu ya Taifa cha Hispania kitakachoshiriki michuano...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2021KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imeishauri Serikali imalize kulipa madeni ya fedha za korosho, ilizonunua kwenye msimu...
By Masalu ErastoMay 24, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri wa Uwekezaji, Geoffrey Mwambe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo, watatue...
By Regina MkondeMay 24, 2021WIZARA ya Ofisi ya Rais-Tamisemi, imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, itumie mapato yake ya ndani, kununua kipimo cha kuchunguza...
By Masalu ErastoMay 24, 2021MABAO mawili kwenye dakika ya 71 na 76 yalimfanya Sergio Kun Aguero kufikisha mabao 184 ndani ya Ligi Kuu England na kuweka...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka wabunge kuacha ngonjera katika kipindi cha maswali na majibu, ili kuokoa muda. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoMay 24, 2021MDHIBITI na Mkaguzi wa Fedha za Serikali Visiwani Zanzibar (CAG), Dk. Othman Abbas Ali, amemefichua ubadhirifu wa mabilioni ya shilingi katika wizara...
By Masalu ErastoMay 24, 2021SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameipongeza klabu ya Simba kwa kufikia hatua ya robo Fainali ya...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2021SERIKALI ya Tanzania imeagiza hospitali, zahanati na vituo vya afya vya umma, viweke watu maalum kwa ajili ya kuwahudumia wazee. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMay 24, 2021MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Visiwani Zanzibar, amegudua kuwapo kwa madeni hewa yenye thamani ya Sh. 2.9 bilioni,...
By Regina MkondeMay 24, 2021MTANDAO wa Viongozi Wanawake Barani Afrika (AWLN), umemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, azitumie fursa za maendeleo zinazotolewa na taasisi pamoja na mashirika...
By Regina MkondeMay 24, 2021UBADHIRIFU ulioibuliwa katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Zanzibar, kwenye mwaka wa fedha wa 2019/2020, umemuibua...
By Regina MkondeMay 23, 2021UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeiomba Serikali ichukue hatua za haraka, kumaliza tatizo la vijana kukosa ajira nchini. Anaripoti...
By Hamisi MgutaMay 23, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anakwamishwa na baadhi ya watendaji wake, hasa waliopewa dhamana ya kusimamia michakato...
By Hamisi MgutaMay 23, 2021ONESMO Olengurumwa, Mratibu Mkazi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, afute zuio la...
By Mwandishi WetuMay 23, 2021RAIS wa Zanzibar,Dk. Hussein Mwinyi ameagiza watu waliohusika katika ubadhirifu wa fedha za umma, uliofichuliwa kwenye Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
By Hamisi MgutaMay 23, 2021KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema aliyekuwa Mbunge wa Konde kupitia chama hicho, Hayati Khatib Haji, ameondoka duniani na...
By Mwandishi WetuMay 23, 2021PAMOJA na ushindi wa bao 3-0 walioupata kkabu ya Simba dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, lakini mabingwa hao wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguMay 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, tarehe 22 Mei 2021, amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC),...
By Masalu ErastoMay 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa mabalozi 23, akiwemo Hoyce Anderson Temu, ambaye ni mwandishi wa habari na mjasiriamali....
By Masalu ErastoMay 22, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania, kutoa ushirikiano wa kutosha ili kufanikisha utekelezaji wa shughuli ya Sensa ya Watu na...
By Mwandishi WetuMay 22, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amewaonya wanachama wa chama hicho, walioanza kupanga safu za...
By Masalu ErastoMay 22, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC), mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, yuko mafichoni, akitafakari hatma yake ya baadaye, Raia Mwema limeelezwa....
By Mwandishi WetuMay 22, 2021DEODATUS Balile, amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa miaka mitano ijayo, kwa kupata kura 57 dhidi Nevile...
By Yusuph KatimbaMay 22, 2021WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nchi za Nje na uhusiano wa kimataifa, wa Tanzania, Bernard Kamilius Membe, yuko mbioni kushinda shauri...
By Yusuph KatimbaMay 22, 2021IKIWA zimebaki siku mbili kuelekea maadhimisho ya kutokomeza Fistula ya Uzazi, bado takwimu zinaonyesha, idadi ya wanawake wenye tatizo hilo imekuwa ikiongezeka....
By Hamisi MgutaMay 21, 2021RAIS wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ijikite katika kutoa elimu kwa Watanzania,...
By Bupe MwakitelekoMay 21, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 500 milioni kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya watoto, wanaume na wanawake ya magonjwa mchanganyiko hospitali...
By Masalu ErastoMay 21, 2021