Sunday , 19 May 2024

Month: May 2021

Habari Mchanganyiko

Majaliwa ataka Hayati Magufuli aenziwe

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameshauri aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, aenziwe kwa kutimiza ndoto yake ya uanzishwaji somo...

Habari Mchanganyiko

Mlima Nkongore kumaliza mgogoro wa wananchi, Magereza

  SERIKALI iko katika hatua za mwisho kulifanya eneo la Mlima Nkongore mkoani Mara, kuwa hifadhi ya Taifa. Anaripoti Nasra Bakari, DMC …...

Habari Mchanganyiko

Changamoto za afya: Mbunge CCM awapigania wahitimu vyuo vikuu

  MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Latifa Juakali ameishauri Serikali ianzishe huduma ya bima ya afya, kwa wanafunzi wa elimu ya juu na...

Michezo

Wachezaji wa Simba wamvuruga kocha wao

  KUELEKEA mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs, Kocha Mkuu wa kikosi cha Simba, Didier Gomes ameshangazwa na wachezaji wake kwa kila...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete: Msikubali kutumika

  RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amewashauri Watanzania wasikubali kutumika katika kutengeneza migogoro. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Kifo cha Dk. Magufuli: Rais Ndayishimiye amtumia ujumbe Rais Samia

  RAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amemtumia ujumbe Rais waTanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati...

Habari Mchanganyiko

Mbunge aiomba Serikali isamehe madeni ya wafanyabiashara

  MBUNGE wa Mbogwe mkoani Geita (CCM), Henry Maganga, ameiomba Serikali iwafutie madeni wafanyabiashara, wenye madeni yanayotokana na ukosefu wa elimu juu ya...

Habari za Siasa

Vitendo vya wanaume kutekeleza watoto vyatikisa Bunge, latoa maagizo

  VITENDO vya baadhi ya wanaume kutelekeza watoto kwa kutogharamia matunzo yao, vimezua mjadala bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mjadala huo...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Kinondoni, Mkurugenzi wakwepa rungu la CCM

  MEYA wa Manispaa ya Kinondoni (CCM), Songoro Mnyonge pamoja na Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Sipora Liana, wamemaliza mgogoro wao uliobuka hivi karibuni,...

Habari Mchanganyiko

Viongozi TLS wanolewa kuzikabili kesi za kikatiba, haki za binadamu

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umefanya warsha ya kuwajengea uwezo viongozi wa kanda wa Chama cha Wanasheria wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chongolo akunjua makucha migogoro madiwani, wakurugenzi

  BAADA ya kuibuka mivutano baina ya madiwani na watendaji, katika Manispaa za Ubungo na Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Rais Museveni aacha somo kwa Watanzania

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ametumia hotuba yake katika hafla ya utiaji saini mkataba hodhi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi...

Michezo

Yacouba, Mukoko waitwa timu za Taifa

  Kwa mara ya kwanza toka aliposajiliwa ndani ya klabu ya Yanga mshambuliaji kutoka Burkina Faso Yacouba Sogne ameitwa kwenye timu yake ya...

Michezo

Bocco: Tunakwenda kupambana

  Nahodha wa klabu ya Simba John Bocco anaamini kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs watahakikisha wanapambana ili kuondoka na matokeo...

MichezoTangulizi

Kazier Chiefs kutua Dar na Ndege binafsi

  Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika klabu ya Kazier Chiefs wamewasili jana...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Si sera ya Serikali kuwaonea waandishi wa habari

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, sio sera ya Serikali kuwaonea waandishi wa habari wanaotekeleza majukumu yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro…(endelea)....

Habari za Siasa

Tanzania kuvuna matrilioni mradi bomba la mafuta

  SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuvuna matrilioni ya fedha, katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), unaotekelezwa kwa ubia...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atoa siku 41 taasisi za serikali zinazodaiwa na vyombo vya habari kuwalipa

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameziagiza wizara, taasisi na mashirika ya umma yanayodaiwa na vyombo vya habari, hadi tarehe 30 Juni...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata kufungiwa Mawio, MwanaHALISI lafika kwa waziri mkuu, yeye ajibu

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kasim Majaliwa, ameombwa kusaidi Idara ya Habari Maelezo kuhakikisha inatenda haki kwa Magazeti yaliyofungiwa ikiwemo Mawio na MwanaHALISI....

Habari za Siasa

Rais Samia atoa maagizo Tanzania, Uganda

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezitaka pande zinazoendelea na majadiliano ya ujenzi wa Bomba la Mufuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganga...

Habari za SiasaTangulizi

Chanzo Meya, DED Kinondoni kuvutana mkutanoni

  KIKAO cha Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kilichofanyika jana Jumatano, tarehe 19 Mei 2021, kiliingia dosari,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ujenzi bomba la mfuta: Watanzania 3,832 kulipwa bilioni 28

  WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, Dk. Medard Kalemani, amesema takribani Sh. 28 bilioni, zimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia wananchi 3,832, ambao...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa mbunge Khatibu kuzikwa Pemba leo

  MWILI wa mbunge wa Konde (ACT -Wazalendo), Khatib Said Haji (58), utazikwa leo Alhamisi, tarehe 20 Mei 2021, saa 10:00 jioni, Kisiwani...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Tatizo la Luku: Majaliwa atoa maagizo mengine ‘wakae pembeni’

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu meneja wa Teknolojia...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amwandikia barua Rais Samia, apendekeza mambo matano

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amemuandikia barua, Rais wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, kumwelezea changamoto zilizojitokeza katika chaguzi ndogo za Ubunge...

Habari za Siasa

Zitto amlilia mbunge aliyefariki dunia

  KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, kifo cha mbunge wake wa Konde, Khatib Said Haji, ni...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge ACT-Wazalendo afariki dunia

  MBUNGE wa Konde (ACT -Wazalendo), Khatib Said Haji, amefariki dunia katika hispitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa akihudhuria mkutano wa...

Kimataifa

Prof. Lipumba ajitosa mauaji Palestina

  MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), nchini Tanzania, Prof. Ibrahim Lipumba, ameishauri Serikali ya Tanzania, ifuate nyayo za Baba wa Taifa, Hayati...

Michezo

Yanga waing’ang’ania Simba kileleni

  BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Jkt Tanzania Yanga sasa inafikisha jumla ya pointi 61, sawa na Simba...

Habari za SiasaTangulizi

DC, madiwani Dar nusura wasichape

  MADIWANI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mkoani Dar es salaam, Kisare Makore wameingia katika ‘mnyukano’ unaohatarisha...

Habari Mchanganyiko

Zuio uvuvi Kambamiti: Serikali yatoa matumaini

  SERIKALI imeagiza Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), irudie upya utafiti iliyoufanya kuhusu uvuvi wa samaki aina ya Kambamiti. Anaripoti Nasra...

Habari Mchanganyiko

Vigogo Soko la Feri kitanzini

  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinawachunguza baadhi ya viongozi wa Soko la Kimataifa...

Michezo

Simba: Ama zetu, Ama zao, mashabiki elfu 10 ruksa

  KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, klabu ya Simba imekuja na kauli mbiu ya ‘Ama zetu,...

Habari Mchanganyiko

Ununuzi korosho pasua kichwa, mbunge aiangukia Serikali

  ABDALLAH Chikota, mbunge wa Nanyamba (CCM), mkoani Mtwara (CCM), ameiomba Serikali iweke bei elekezi ya zao la korosho katika mfumo wa soko...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mashtaka 14: Masheikh Uamsho waibwaga Serikali

  MAHAKAMA ya Rufaa nchini Tanzania, imetupilia mbali rufaa ya Serikali dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kufuta...

Habari Mchanganyiko

Mbunge Nyongo ahoji barabara Maswa-Lalago, serikali yamjibu

  MBUNGE wa Maswa Mashariki (CCM), Stanslaus Nyongo, amehoji lini serikali itaanza ujenzi wa barabara kwa kiwamgo cha lami ya Maswa hadi Lalago....

Habari Mchanganyiko

Mbunge ahoji huduma za afya wazee na watoto, Silinde amjibu

  GRACE Tendega, Mbunge viti maalumu (asiye na chama), ameitaka serikali ya Tanzania, kuona umuhimu wa huduma za afya kwa wazee, watoto na...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa dini wapewa ujumbe

  WATUMISHI wa Mungu, wameitwa duniani siyo kubomoa bali wanatakiwa kujenga ili watu waweze kumcha Mungu na kuachana na maovu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Tanesco yaomba radhi, yaeleza huduma za luku zinapopatikana

  SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limewaomba radhi wateja wake kutokana na ukosefu wa huduma ya ununuzi wa luku kwa njia ya mtandao...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ataja sifa za kiongozi bora

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema, kiongozi yoyote ili aweze kutekeleza majukumu yake ipasavyo lazima awe hodari wa kazi...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Mkuu, Spika Ndugai wataka DPP, Takukuru watende haki

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amemshauri Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Sylvester Mwakitalu, aanze majukumu yake mapya kwa kuyapatia ufumbuzi malalamiko...

Habari za Siasa

Rais Samia awapangua Ma RC Kafululi, Mongella

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa, kwa kumpeleka John Mongella Arusha na David Kafulila Simiyu....

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai ataka Ma-RC wabanwe

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshauri wakuu wa mikoa (RC), wawajibishwe mikoa yao inapofanya vibaya katika usimamizi wa masuala ya...

MichezoTangulizi

Waziri Bashungwa: Simba ni Timu ya Taifa

  WAZIRI wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo innocent Bashungwa amewataka watanzania kwa pamoja kuinga mkono klabu ya Simba kwenye mchezo wa marudiano...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika awakabidhi Bawacha zigo la katiba mpya, tume huru

  BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, limepewa jukumu la kupigania upatikanaji wa katiba mpya na tume...

Michezo

Mwamuzi aliyekataa bao la Yanga dhidi ya Namungo afungiwa

Mwamuzi msaidizi namba moja Abdulaziz Ally aliyechezesha mchezo wa Namungo Fc dhidi ya Yanga ameondelewa kwenye orodha ya waamuzi kwa michezi mitatu mara...

Habari Mchanganyiko

Wang’aka mauaji mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, IGP…

  WIKI mbili baada ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, mkoani Tabora, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kwa kusirikiana na...

Habari Mchanganyiko

Masheikh wa Uamusho: Mahakama kuamua rufaa mashtaka 14

  MAHAKAMA ya Rufaa Tanzania, kesho Jumatano, tarehe 19 Mei 2021, inatarajia kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa na Serikali, kupinga uamuzi wa Mahakama...

Habari Mchanganyiko

Milioni 500 yatengwa kununua vifaa tiba Mufindi

  SERIKALI ya Tanzania imetenga Sh.500 milioni kwa ajili ya kununua vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa....

Habari za Siasa

Mbunge ahoji ubovu barabara za Singida, Serikali yamjibu

  AYSHAROSE Mattenbe, Mbunge viti maalumu (CCM), ameitaka serikali kuona umuhimu wa kuzijenga barabara zinazounganisha jimbo la Singida Kaskazini mkoani humo. Anaripoti Jemima...

error: Content is protected !!