May 28, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mbunge ACT-Wazalendo afariki dunia

Marehemu Khatib Said Haji

Spread the love

 

MBUNGE wa Konde (ACT -Wazalendo), Khatib Said Haji, amefariki dunia katika hispitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa akihudhuria mkutano wa Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Ni mbunge wa tatu kufariki dunia katika Bunge hili la 12 lililoanza Novemba 2020.

Wengine waliotangulia ni; Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Martha Umbulla, aliyefariki tarehe 21 Januari 2021, Mumbai, nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu na Atashasta Nditiye wa Muhambwe mkoani Dodoma aliyefariki tarehe 12 Februari 2021, kwa ajili jijini Dodoma.

Taarifa zaidi, endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii.

error: Content is protected !!