Wednesday , 22 May 2024

Month: February 2021

Elimu

Shule yenye darasa moja tangu 2014

  BWANAHERI Akili, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Namalombe iliyopo Nanyumbu mkoani Mtwara, ameiomba serikali kujenga madarasa mengine katika shule yake kwa...

Habari za Siasa

CCM yapoteza mwenyekiti wake Simiyu

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo, amefariki dunia leo asubuhi Jumanne, tarehe 23 Februari 2021, Hospitali ya...

Habari Mchanganyiko

Mwili wa Dk. Likwalile kuzikwa leo Mpiji Magoe

  MWILI wa katibu mkuu wa zamani wa wizara ya fedha na mipango nchini Tanzania, Dk. Servacius Likwelile, unazikwa leo Jumanne tarehe 23...

Habari za Siasa

Dorothy ‘akabidhiwa’ kiti cha Maalim Seif

  KAMAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Bara, Dorothy Semu amekaimu rasmi kiti cha uenyekiti wa chama hicho, kilichokuwa kikishikiliwa na Hayati Maalim...

Michezo

Namungo FC mikononi mwa Waarabu

  KAMA itafanikiwa kuvuka kwenye mchezo wa pili dhidi ya Costo De Agosto ya Angola, klabu ya Namungo ya Tanzania, itaangukia kwenye kundi...

HabariTangulizi

Prof. Ndulu, gavana atakayekumbukwa kwa mengi

  ALIYEKUWA Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndullu (71), amefariki dunia. Prof. Ndullu, alizaliwa tarehe 23 Januari 1950. Anaripoti...

Habari za Siasa

Saa 72 za Magufuli Dar

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli atafanya ziara ya kikazi ya siku tatu, jijini Dar es Salaam, kuanzia Jumatano hadi Ijumaa, tarehe 26...

Habari za SiasaTangulizi

Mchakato kumtafuta mrithi Maalim Seif kuanza Alhamisi

  CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kitaanza mchakato wa kumpata mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad (77), kwenye nafasi ya Makamu wa Kwanza...

Michezo

Kocha Al Ahly aikubali Simba, awataja Miquison, Chama, Mugalu

  KOCHA Mkuu wa Al Ahly, Pitso Mosimane ametaja wachezaji Luis Miquison, Clatous Chama na Chriss Mugalu kama wachezaji wa kuwachunga kuelekea mchezo...

Kimataifa

Maelfu Myanmar walivimbia jeshi

  MAELFU ya wananchi wa Myanmar wamejitokeza katika miji mbalimbali nchini humo, wakipinga utawala wa kijeshi. Inaripoti Aljazeera…(endelea). Taarifa kutoka Myanmar zinaeleza, kwamba biashara...

Habari Mchanganyiko

Waliotaka viongozi wafe kwa COVID-19 wakamatwa

  WATU wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kupendekeza majina ya viongozi wa serikali wanaotamani wafe kwa virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi...

Habari

Mama Samia atoa wito uibuaaji fursa

  WAWEKEZAJI na wafanyabiashara nchini wameshauri wa kuibua fursa zinazofungamana na sekta ya madini ili ajili kukuza uchumi wa Taifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari Mchanganyiko

Nzige kuangamizwa kwa ndege Longido, Simanjiro

SERIKALI imepanga kutumia ndege ya kunyunyuzia sumu ili kuangamiza wadudu waharibifu aina ya nzige katika wilayani Longido na Simanjiro. Aanaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kauli...

Habari za SiasaTangulizi

Gavana mstaafu BoT, Profesa Ndulu hatunaye

  ALIYEWAHI kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), amefariki dunia leo Jumatatu tarehe 22 Februari 2021, katika...

AfyaTangulizi

COVID-19: Serikali yaja na mambo manane

  WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza mambo manane yanayoweza kumsaidia Mtanzania kujilinda na magonjwa ya kuambukizwa ikiwemo...

Habari za Siasa

Pigo Chadema, yapoteza ‘kamanda’ wake

  EMMANUEL Lukmai, alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Bagamoyo amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Elimu

Bweni lamuweka matatani Mkuu wa Shule Naliendele

  HALIDI Mchanga, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naliendele, amesimamishwa kazi kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula katika...

Afya

Tanzania yang’ang’aniwa kutoa takwimu za Corona

  SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeitaka serikali ya Tanzania kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya Covid 19, ili kuwezesha kujulikana idadi...

Michezo

Namungo kutupa karata ya kwanza leo kimataifa.

  TIMU ya soka ya Namungo FC leo inashuka uwanjani kuwakabili CD 1 Agosto kutoka Angola kwenye mchezo wa raundi ya tatu ya...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Jitahadharini na corona

  RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kujihadhari na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ametoa wito...

Habari Mchanganyiko

Mwili wa Balozi Kijazi wazikwa

  MWILI wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi (64), umepumzishwa katika makazi yake ya milele. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aliwahi kupigwa mawe Zanzibar –Ismal Jussa

  SAFARI ya Maalim Seif Sharif Hamad, katika harakati za kisiasa Visiwani, haikuwa rahisi. Ilipitia milima na mabonde; miamba na miba; dhuroba na...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wazidi kukatika, Dk. Likwelile awafuata

  ALIYEKUWA katibu mkuu wa wizara ya Fedha na Mipango, katika serikali ya Tanzania, Dk. Servasius Beda Likwelile, amefariki dunia. Anaripoti Saed Kubenea…(endelea)....

Habari MchanganyikoHealth

Majaliwa: Hakuna aliyekatazwa kuvaa barakoa

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, hakuna anayekatazwa kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Majaliwa ametoa kauli...

Habari za Siasa

Chanzo kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

  ALIYEKUWA Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi (64), amefariki dunia kutokana na maradhi ya moyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Padre Katoliki afariki dunia

  PADRE wa Parokia ya Kristo Mfalme Kibaoni, Jimbo Katoliki la Singida, Parick Njiku, amefariki dunia jana Ijumaa, tarehe 19 Februari 2021, katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Likwelile afariki dunia

  ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Servacius Likwelile, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi,...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atoboa siri yake na Balozi Kijazi

  SAFARI ya ushirikiano baina ya Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli na aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wake, Balozi John Kijazi, ilianza tangu...

Habari za Siasa

Waziri Mpango mgonjwa, Magufuli asoma ‘sms’ aliyotumiwa

  JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, amelazimika kusoma hadharani ujumbe aliotumiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, ili kukanusha taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli asema Maalim Seif alifitinishwa

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, aligoma kukubali wito wa kukutana na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atangaza siku tatu za maombi

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli, ametangaza siku tatu za maombi kuanzia leo Ijumaa hadi Jumapili tarehe 21 Februari 2021, ili Mungu atokomeze...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli aongoza Watanzania kumuaga Balozi Kijazi

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewaongoza waombolezaji, kuuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (64), aliyefariki dunia tarehe 17...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif alivyoacha pigo ACT-Wazalendo, Zitto asema…

  KIFO cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, kilichotokea Jumatano tarehe 17 Februari 2021, katika Hospitali ya Taifa...

Habari za Siasa

Maneno ya mwisho ya Maalim Seif kwa Zitto

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, wosia wa mwisho aliopewa na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad,...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ahitimisha safari ya miezi 927 duniani

  MAALIM Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, amehitimisha safari yake ya miezi 927 duniani. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari

Nape aibiwa bastola Dar, yapatikana Mbeya

  BASTOLA ya Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama (CCM) iliyoibwa tarehe 15 Februari 2021, katika eneo la Kawe Beach, jijini Dar es Salaam,...

Habari za Siasa

Lowassa: Maalim Seif ameacha ombwe kubwa

  WAZIRI Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowassa amemtaja Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba alikuwa mwanasiasa...

Habari

Hospitali ya Aga Khan matatani, Polisi waichunguza

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linaichunguza Hospitali ya Aga Khani, jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma...

Tangulizi

NEC yamteua diwani NCCR-Mageuzi

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), imemteua Renatha Lihange Mizungo, kuwa Diwani Viti Maalumu kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Kigoma....

Habari

Mwili wa Balozi Kijazi waagwa Dodoma, kuzikwa J’mosi Tanga

  MWILI wa Katibu Mkuu Kiongozi nchini Tanzania, Balozi John Kijazi, umeagwa leo Alhamis tarehe 18 Februari 2021, katika Hospitali ya Benjami Mkapa,...

Habari Mchanganyiko

Kukiuka maombolezo ya Maalim Seif: Televisheni yafungiwa

  KITUO cha Televisheni cha Tifu, Zanzibar kimefungiwa kwa siku saba baada ya kukiuka mwongozo wa vipindi wakati huu wa msiba wa Hayati...

Michezo

Rais ZFF ajiuzuru

  RAIS wa Shirikisho la mpira wa Miguu visiwani Zanziba (ZFF) Seif Kombo Pandu amejiuzuru nafasi hiyo hii leo tarehe 18 Februari 2020,...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba afukua ya Maalim Seif mwaka 1975

  PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemueleza Maalim Seif Sharif Hamad kwamba Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilimzuia...

Michezo

Simba waomboleza kifo cha Balozi Kijazi

MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba ya jijini Dar es Salaam, imeomboleza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Kikwete aongoza maelfu ya wananchi kumuaga Maalim Seif

RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameongoza maelfu ya wananchi jijini Dar es Salaam, katika ibada ya swala ya maiti ya mwanasiasa...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi John Kijazi afariki dunia

  KATIBU Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma. Anaripoti Hamis Mguta,...

Michezo

Yanga yabanwa mbavu na Kagera Sugar

  KLABU ya Yanga imelazimishwa sare ya mabao 3-3 na Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...

Habari za Siasa

Maalim Seif kuzikwa leo Z’bar

  MWILI wa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, aliyefariki leo Jumatano, tarehe 17 Februari 2021, Hospitali ya Taifa...

Habari Mchanganyiko

Mwandishi ITV afariki dunia

  MWANDISHI wa habari wa televisheni ya ITV na Redio One, Vedasto Msungu amefariki dunia leo Jumatano, saa 11 jioni, tarehe 17 Februari...

Habari za Siasa

Simba, Yanga zamlilia Maalim Seif

  TIMU za Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam, zimetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu...

error: Content is protected !!