May 23, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Maalim Seif kuzikwa leo Z’bar

Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad

Spread the love

 

MWILI wa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, aliyefariki leo Jumatano, tarehe 17 Februari 2021, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, utazikwa leo Alhamisi, Mtambwe, Pemba visiwani Zanzibar. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea).

Ratiba iliyotolewa na Serikali ya Mapinduzi Zanizbar, inaonyesha mwili wa Maalim Seif (77) ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, utasaliwa katika Msikiti wa Maamur, Dar es Salaam asubuhi ya kesho kisha kusafirishwa kwenda Unguja.

Ratiba yote hii hapa chini;

error: Content is protected !!