May 21, 2022

Uhuru hauna Mipaka

CCM yapoteza mwenyekiti wake Simiyu

Enock Yakobo

Spread the love

 

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo, amefariki dunia leo asubuhi Jumanne, tarehe 23 Februari 2021, Hospitali ya Meatu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Simiyu … (endelea).

MwanaHALISI Online, limezungumza na katibu mwenezi wa CCM mkoani humo, Mayunga George ambaye amesema, taratibu zingine za mazishi zitatolewa baadaye

Endelea kufuatilia MwanaHALISI Online na MwanaHALISI TV kwa habari zaidi

error: Content is protected !!