December 8, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Simba waomboleza kifo cha Balozi Kijazi

Spread the love

MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba ya jijini Dar es Salaam, imeomboleza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Willim Kijazi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea)

Balozi Kijazi alifikwa na mauti jana Jumatano saa 3:10 usiku katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Katika taarifa hizo za maombolezo zilizotolewa na Klabu ya Simba umesema “uongozi wa Klabu ya Simba, unatoa pole kwa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli, familia na Watanzania wote kufuatia kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.”

error: Content is protected !!