MWAMBA wa kisiasa na vuguvugu la demokrasia barani Afrika, umeanguka rasmi na hauwezi tena kurejea ulingoni. Ni Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2021UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania umesema, Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (77), alikuwa kiongozi anayeweka mbele watu...
By Hamisi MgutaFebruary 17, 2021BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limewataka waumini wake kufanya toba ya kweli ili kubadili mioyo mibovu. Anaripoti Ragina Mkonde, Dar es...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza siku tatu za maombolezo ya Kitaifa kuanzia leo Jumatano tarehe 17 Februari 2021, ambapo bendera zote zitapepea...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, kimeshtushwa na kifo cha mwenyekiti wake, Maalim Seif Sharif Hamad, kilichotokea leo Jumatano tarehe 17 Februari...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliywekuwa Makamu wa Kwanza wa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad (77), Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar, kilichotolea leo Jumatano...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), limeamua michezo yote miwili ya Kombe la Shirikisho kati ya Namungo FC na CD...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha mfarakano katika...
By Regina MkondeFebruary 17, 2021WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni (DED) jijini Dar es Salaam, Aron Titus Kagurumjuli. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021JESHI la polisi jijini Dar es Salaam, limemuachia kwa dhamana, Askofu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), nchini Tanzania, inawahoji viongozi wakuu wa Kanisa la Evangelical Assembless of God of Tanzania...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021HAYAWI hayawi sasa yamekuwa, Francis Ciza maarufu Majizo na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamefunga ndoa. Anaripoti Matrida Peter, Dar es Salaam..(endelea) Majizo ambaye...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021SEVERINE Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara amehoji, “changamoto ya upumuaji ni kitu gani?” Anaripoti Mwandishi Wetu, Ngara…(endelea). Askofu Niwemugizi amehoji...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2021KAMPUNI ya Azam Media, wamekuja na mradi wa kufunga taa kwenye viwanja vinne vinavyochezewa Ligi kuu Tanzania Bara. Anaripoti Kelvin Mwaipungu… (endelea)...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani hatua ya jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, kumkamata na kumshikilia Askofu Dk. Emmaus Mwamakula,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2021ALIYEKUWA Rais Afrika Kusini, Jacob Zuma (79), anakabiliwa na “kosa la kuidharau mahakama.” Jaji mmoja nchini Afrika Kusini amesema, anataka aliyekuwa rais huyo...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021UMESAHAU ulipotoka hujui unapokwenda, ukapata kiburi kuona mi nakupenda, nilikuthamini na letu penzi kulienzi na leo siamini kama umenisaliti mpenzi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 (Ngorongoro Heroes) ambayo ipo chini ya kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ itakuwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2021MABINGWA watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Al Ahly itashuka dimbani hii leo tarehe 16 Februari 2021, dhidi ya El...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema, taifa limempoteza mzalendo wa dhati na mtetezi shupavu wa Mapinduzi ya Zanzibar, Dk....
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, sifa na maneno mazuri ambayo yamesemwa kuhusu aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Mhandisi Atashasta Nditiye yatakuwa...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam nchini Tanzania, linamshikilia, Emmaus Mwamakula, Askofu wa kanisa la Uamsho la Moravian...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021CHAMA cha Madaktari nchini (MAT), kimewataka wananchi kuwa makini kutokana na ongezeko la wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021AZIZ Rashid Abdallah (39), mkulima na mkazi wa Mbande Rufu, Mbagala jijini Dar es Salaam anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa...
By Regina MkondeFebruary 15, 2021SERIKIALI ya Mapinduzi Zanzibar imewataka watalii kuzingatia miiko na maadaili ya Mzanzibari hasa katika mavazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2021PROFESA Mark Mwandosya, waziri wa zamani katika utawala wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ameeleza kuumizwa na kifo cha baba yake mdogo,...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2021DAKTARI Mohmmed Seif Katibu, aliyewahi kuwa Mkuu wa Oganizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Kim Poulsen raia wa Denmark (61) kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘Taifa...
By Hamisi MgutaFebruary 15, 2021BARAZA Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA), limeelekeza misikiti yote kufanya maombi maalumu (kusoma dua) kwa ajili ya kumuomba Munga kuliepusha taifa na...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, amepongeza miongozo iliyotolewa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjiki la...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2021ALIYEKUWA rais wa Marekani, Donald Trump, ameponea chupuchupu kitiwa hatiani, kutokana na madai ya kuchochea vurugu katika jengo la Bunge, tarehe 6...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021JOYCE Kiria, Mwanaharakati wa masuala ya wanawake, anasaka Sh. 5 Mil ili kulipa faini baada ya kuweka maudhui mtandaoni bila kufuata sheria. Anaripoti...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Atashasta Nditiye (52), umeagwa bungeni jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali itajenga shule mpya 1,026 ambapo kati ya hizo, shule 26 zitakuwa za bweni zenye...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka wanufaika wote wa mikopo ya elimu ya juu nchini humo, ambao bado hawajajitokeza na kuanza...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2021NCHI wanachama wa mkataba wa Roma ulioanzisha Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu (ICC), umemchagua mwanasheria kutoka Uingereza, Karim Khan...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2021WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza klabu ya Simba kwa kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya michuano...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021SHIIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa kitendo cha timu ya Namungo FC kutaka kuwekwa karantini nchini Angola baada ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021SAA chache mara baada ya msafara wa Namungo kuzuiliwa kwenye Uwanja wa ndege wa Luanda Angola, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania, amesema Taifa litamkumbuka mwanasiasa mkongwe nchini humo, Bakari Harith Mwapachu (81),...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2021MSAFARA wa wachezaji na viongozi wa klabu ya Namungo FC umezuiliwa katika Uwanja wa ndege wa Luanda nchini Angola kwa madai kuwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge, Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa Muhambwe (CCM), mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2021PENALTI ya dakika 60 ya mchezo iliwekwa kambani na Chriss Mugalu ilitosha kuipatia Simba pointi tatu kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021MSHAMBULIAJI wa Biashara United ya Mara, Deogratius Mafie amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL)...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2021HARITH Bakari Mwapachu (81), waziri mwandamizi wa zamani amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo Ijumaa tarehe 12 Februari 2021, Hospitali ya Taifa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2021SERIKALI ya Tanzania imeeleza, haijawahi kusema haina maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde …(endelea). “Hatujawahi kusema, hatuna virusi vya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameeleza kutamani mfanyabiashara Rostam Azizi kugombea Jimbo la Morogoro Mjini, ili kumng’oa Abdul-Aziz Abood, mbunge wa jimbo...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2021MBUNGE wa Muhambwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Atashasta Nditiye, amefariki dunia leo asubuhi Ijumaa tarehe 12 Februari...
By Danson KaijageFebruary 12, 2021