May 26, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Magufuli amtumbua DED Kinondoni

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni (DED) jijini Dar es Salaam, Aron Titus Kagurumjuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikul, imesema, Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia Jumanne tarehe 16 Februari, 2021.

Msigwa amesema, uteuzi wa Mkurugenzi mwingine wa Manispaa hiyo utafanywa baadaye.

 

error: Content is protected !!