May 21, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mwanasiasa mkongwe Bakari Mwapachu afariki dunia

Bakari Harith Mwapachu

Spread the love

 

HARITH Bakari Mwapachu (81), waziri mwandamizi wa zamani amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo Ijumaa tarehe 12 Februari 2021, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)

Mwili Mwapachu, aliyezaliwa tarehe 25 Julai 1939, amewahi kuwa mbunge wa Tanga Mjini kuanzia mwaka 2000 hadi 2010.

Balozi Juma Mwapachu ambaye ni mdogo wake Bakari amesema, mwili wa kaka yake utasafirishwa kwenda jijini Tanga kwa mazishi yanayotarajia kufanyika kesho Jumamosi.

Endelea kufuatili mitandao yetu kwa habari na taarifa mbalimbali

error: Content is protected !!