May 23, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Simba, Yanga zamlilia Maalim Seif

Spread the love

 

TIMU za Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam, zimetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, aliyefariki dunia leo Jumatano, tarehe 17 Februari 2021, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea)

Maalim Seif ambaye alikuwa pia, Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, alikuwa shabiki wa Simba.
Soma taarifa za rambirambi za watani hao wa jadi hapa chini.

error: Content is protected !!