December 8, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Rais ZFF ajiuzuru

Seif Kombo Pandu, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF)

Spread the love

 

RAIS wa Shirikisho la mpira wa Miguu visiwani Zanziba (ZFF) Seif Kombo Pandu amejiuzuru nafasi hiyo hii leo tarehe 18 Februari 2020, mara baada ya kuwasilisha barua rasmi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu… (endelea)

Kombo amehudumu kwenye nafasi hiyo kama rais wa ZFF kwa kipindi cha miaka miwili na miezi nane toka lipochaguliwa mwezi Juni 2019.

Katika taarifa iliyotolewa na ZFF hii leo imeleza kuwa Seif Kombo ameamua kuchukua maamuzi hayo kwa jili ya maslai mapana ya Mpira wa Zanzibar.

Aidha taarifa hiyo iliendelea kueleza kuwa Seif Kombo amewashukuru viongozi mbalimbali aliofanya nao kazi katika kipindi chote alichokuwepo ZFF

error: Content is protected !!