May 25, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mwandishi ITV afariki dunia

Spread the love

 

MWANDISHI wa habari wa televisheni ya ITV na Redio One, Vedasto Msungu amefariki dunia leo Jumatano, saa 11 jioni, tarehe 17 Februari 2021, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Msungu alikuwa amelazwa hospitalini hapo kwa matibabu.

 

error: Content is protected !!