
Arthur Shoo
Spread the love
ARTHUR Shoo, Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, amefariki dunia jana Alhamisi usiku, tarehe 25 Februari 2021, Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea).
Dk. Fredrick Shoo, Mkuu wa KKKT, ambaye pia ni mkuu wa Dayosisi hiyo, amesema Arthur alifikwa na mauti jana usiku wakati akiendelea na matibabu hospitalini hapo.
More Stories
Ujenzi Magomeni kota, Majaliwa atoa maagizo TBA
Sakata la Hamornize: Polisi ‘Ole wenu wasanii’
Kajala, Paulina wahojiwa polisi