April 21, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Rais Magufuli anazindua Daraja la Juu la Kijazi

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, leo Jumatano tarehe 24 Februari 2021, amezindua Daraja la Juu la Ubungo, jijini Dar es Salaam, ambalo limepewa jina la ‘Daraja la Kijazi.”

Jina hilo jipya la Kijazi ni kukumbuka mchango wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Tanzania, Balozi Mhandisi John Kijazi, aliyefariki dunia tarehe 17 Februari 2021, katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.

error: Content is protected !!