Tuesday , 7 May 2024

Month: June 2020

Kimataifa

Mutharika atavuka? Malawi wapiga kura leo

SWALI kubwa linalogubika Malawi na sehemu ya Afrika, ni kwamba Rais Peter Mutharika atashinda kwenye uchaguzi unaofanyika leo Jumanne tarehe 23 Juni 2020...

Kimataifa

Trump aita corona ‘kung flu’

KAULI ya Donald Trump, Rais wa Marekani kuita virusi vya corona (COVID-19), ‘kung flu’ imetetewa na msemaji wa Ikulu nchini humo. Inaripoti mitandao ya...

Kimataifa

Milioni 9 waambukizwa corona duniani

MAAMBUKIZO ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 9.19 huku waliopona wakiwa milioni 4.94. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu...

Tangulizi

Polisi wamkamata Zitto, Bwege

ESHI la Polisi Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi, limemkamata Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama siasa cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Faki Sosi, Kilwa…(endelea) Zitto...

Habari za Siasa

Mrisho Gambo alivyompongeza mrithi wake Arusha

MRISHO Gambo, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ametoa pongezi kwa mrithi wake, Iddy Kimanta katika nafasi hiyo na kumwomba Mungu akamsimamie kwenye...

Habari Mchanganyiko

Corona isiwe kigezo watoto kukosa chanjo

SERIKALI ya Tanzania imeitaka jamii kutotumia kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19) kama kigezo cha kutopeleka watoto kwenye chanjo ili...

Habari za Siasa

Zitto aeleza walivyojipanga uchaguzi mkuu, kugombea ubunge

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha siasa cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuwa hakitasusia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...

Habari Mchanganyiko

Mzabuni, mhandisi mbaroni kwa ubadhirifu ujenzi wa Ikulu

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Manyara, inamshikilia Patrick Joakimu Kauky kwa kosa la kufanya ubadhirifu wa vifaa vya ujenzi...

Habari za Siasa

Uchaguzi 2020: Kamati Kuu ACT-Wazalendo yaweka msimamo 

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kwamba, kitalinda ushindi wake kwa gharama zozote katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es...

Michezo

Yanga wawajia juu mashabiki wao

UONGOZI wa klabu ya Yanga umekemea vitendo vya mashabiki kuwazomea na kutokana wachezaji kiasi cha kuwakatisha tamaa na kuleta hali ya sintofahamu, licha...

Habari za Siasa

Wasaka urais CCM Z’bar wafika 22 

MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaosaka kuteuliwa kugombea urasi visiwani Zanzibar, tangu chama hicho kifungue zoezi hilo tarehe 15 Juni 2020, wamefika...

Habari Mchanganyiko

Mfanyabiashara wa mafuta kizimbani Manyara

SIMONI Lemeya Tukai, mfanyabiashara wa mafuta mkoani Manyara na wenzake watatu, wanatuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Manyara … (endelea). Hivyo,...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Kupitisha jina ‘inategemea nimeamkaje?’

RAIS John Magufuli amewataka wateule wake walio na majukumu kutokimbilia majimboni kugombea, na kwamba kupitishwa kwa majina yao kunategemea ‘siku hiyo ataamkaje.’ Anaripoti Faki...

Habari za Siasa

Waziri Masauni kada wa 17 kuchukua fomu CCM Z’bar

HAMAD Masauni, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi leo tarehe 22 Juni 2020, amejitokeza kuchukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Hawa nusura niwatumbue leo – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amesema, Jonathan Shana ambaye ni Kamanda wa Polisi Arusha na Frida Wikesi, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli ataja kilichomng’oa Gambo

RAIS John Magufuli amesema, amemfukuza kazi Mrisho Gambo, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na wenzake wawili, kutokana na kutotekeleza maagizo yake. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Urais Z’bar: Refa avaajezi, aingia uwanjani

HATUA ya Jecha Salum Jecha, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM imeibua maswali. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Nafasi ya Gambo Arusha yajazwa

MKUU wa Mkoa wa Arusha sasa ni Idd Kimanta, ambaye awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli jijini Arusha. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: Majaliwa atoa maagizo kwa Takukuru

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na...

Habari za Siasa

Mkutano wa Trump wadoda Oklahoma

MATARAJIO ya timu ya kampeni ya Donald Trump, Rais wa Marekani katika kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, yanawavunja moyo. Inaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Membe aitega CCM kugombea urais

WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema, anatamani kujipima ubavu na Rais John Pombe Magufuli katika kinyang’anyiro cha...

Habari za Siasa

Jecha ‘Hasimu’ wa Maalim Seif,  ajitosa mbio za urais Zanzibar

JECHA Salum Jecha, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), amechukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)....

Habari za Siasa

Rais Shein ataja matukio yaliyotikisa utawala wake

DAKTARI Ali Shein, Rais wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ametaja misukosuko aliyokumbana nayo katika utawala wake. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Wakazi ajitosa kugombea ubunge Ukonga

MSANII wa ‘Hip Hop’ Webiro Wakazi Wasira, maarufu kama Wakazi, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika Jimbo la Ukonga, kupitia chama cha ACT-Wazalendo,...

Tangulizi

Uchaguzi 2020: Vita ya ACT-Wazalendo, CUF yaanza upya

VITA baina ya Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha ACT-Wazalendo imeanza upya. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Vita hiyo...

Habari za Siasa

Rais Shein avunja Baraza la Wawakilishi

DAKTARI Ali Shein, Rais wa Serikali za Mapinduzi Zanzibar (SMZ), leo Jumamosi tarehe 20 Juni 2020 amelivunja Baraza la tisa la Wawawakilishi la...

Elimu

Profesa Ndalichako atoa maagizo Chuo cha Ualimu Mpwapwa

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa jijini Dodoma, kuhakikisha miundombinu ya chuo hicho...

Habari za Siasa

JPM awatumbua RC Gambo, DC na DED Arusha

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa viongozi watatu wa Mkoa wa Arusha na kufanya uteuzi wa viongozi watakaoshika nyadhifa hizo....

Habari za Siasa

Rais Magufuli atua Dar, achangisha harambee Ubungo

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewasili Jijini Dar es Salaam akitokea Makao Makuu Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa iliyotolewa...

Makala & Uchambuzi

‘Matundu’ uchaguzi serikali za mitaa yasirejeshwe 2020

JOTO la Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, linapamba moto ndani ya vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Anaandika Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Tayari...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awachongea wabunge kwa wananchi, avikosoa vyombo vya habari

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshauri wananchi kutowachagua wabunge walopokaji na watovu wa nidhamu. Anaripoti Mwandishi Wetu. …(endelea). Spika Ndugai ametoa...

Kimataifa

Kampeni 2020: Facebook yang’oa matangazo ya Trump

MTANDAO wa kijamii wa Facebook, umeng’oa matangazo ya kampeni ya Donald Trump, Rais wa Marekani kwamba yanachochea ubaguzi. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa ya...

Habari za Siasa

Mwanamke wa kwanza ajitosa urais Zanzibar

MWANTUM Mussa Sultan, amekuwa mwanamke wa kwanza kujitosa katika mchakato wa kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea Urais wa Zanzibar. Anaripoti...

Habari za Siasa

Urais Chadema: Mtia nia alivyojigamba kurudisha uhusiano wa kimataifa

WAKILI Simba Neo, aliyejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Afya

Huduma zarejea Hospitali ya Amana, bila barakoa…

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema, Serikali imerudisha huduma za kawaida katika Hospitali ya Rufaa ya...

Michezo

Man Utd, Tottenham vitani leo

LIGI Kuu nchini England inaendelea tena leo tarehe 19 Juni, 2020 kwa mchezo kati ya Tottenham dhidi ya Manchester United ukiwa muendelezo wa...

Habari za SiasaTangulizi

Profesa Mbarawa kada wa 10 kujitosa urais Z’bar

PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Maji amekuwa mwanachama wa kumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyejitosa kuchukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar kupitia...

Habari Mchanganyiko

Uchaguzi Mkuu: ‘Waandishi wasibague’ – THRDC

WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutoripoti habari kwa ubaguzi, katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi, Dar...

Elimu

Milioni 870 zakarabati Chuo cha Bustani, Profesa Ndalichako atoa neno

SERIKALI ya Tanzania, imetumia zaidi ya Sh. 800 milioni kukarabati Chuo cha Ualimu Bustani kilichopo Kondoa mkoani Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Hayo yamebainishwa...

Habari za Siasa

CCM Ubungo wamdhamini Magufuli, wasema anatosha

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamesema, mgombea wa chama hicho wa nafasi ya Urais, Dk. John Pombe...

Habari za Siasa

Chadema ‘yavuna’ kutoka NCCR-Mageuzi

FELIX Mkosamali, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, ametangaza kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti...

Habari za Siasa

Shamsi Nahodha ataka urais Z’bar

SHAMSI Vuai Nahodha, Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani humo. Anaripoti...

Kimataifa

‘Shubiri’ inayomsubiri ‘Rais’ Ndayishimiye

JENERALI Evariste Ndayishimiye, rais mteule wa Burundi, anaapishwa leo kuongoza taifa hilo kwa miaka saba, anachukua nafasi ya Pierre Nkurunziza ambaye alifariki dunia...

Habari za Siasa

CUF yasaka watia nia ya urais

MWISHO wa kuchukua fomu kwa ajili ya watia nia ya urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), sasa ni tarehe 30 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge limevunjwa: Wabunge, mawaziri bado ‘wanachapa kazi’

WABUNGE wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wataendelea kutumikia na kutambulika katika nafasi zao za ubunge hadi tangazo rasmi la kuvunjwa kwa...

Michezo

Man City yaipiga Arsenal ‘tatu mtungi‘

MANCHESTER City imerejea vyema katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kuishushia kipigo cha ‘tatu bila’ timu ya Arsenal. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Habari Mchanganyiko

Uchaguzi mkuu 2020: Wafadhili waipa mamilioni THDRC

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, utaendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari ya...

Habari Mchanganyiko

Kidato cha tano Tanzania kuanza masomo Julai 20

WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amesema, wanafunzi 73,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano...

Habari za SiasaTangulizi

‘Meya’ Ubungo atimkia ACT-Wazalendo

RAMADHANI Kwangaya, aliyekuwa Kaimu Meya wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam amejiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Michezo

Yanga yamshushia rungu Lamine Moro

KLABU ya Yanga imewaomba radhi kiungo wa JKT Tanzania, Mwinyi Kazimoto na tiju yake, huku ikimwadhibu beki wake, Lamine Moro raia wa Ghana,...

error: Content is protected !!