Tuesday , 7 May 2024

Month: June 2020

Habari za Siasa

Rais Magufuli awapa ujumbe wanaotaka kugombea uchaguzi mkuu

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli, amewataka wanachama wa chama hicho, wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema, ACT- Wazalendo kushirikiana uchaguzi mkuu 2020?

VYAMA viwili vya upinzani nchini Tanzania – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na chama cha ACT-Wazalendo – viko mbioni kushirikiana ili kukabiliana...

Habari za SiasaTangulizi

Mtia nia CCM Jimbo la Ubungo adakwa na Takukuru

LIDA Lugani Mwakatuma, anayejipanga kugombea jimbo la Ubungo pamoja na viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jimboni humo, wanashikiliwa na Taasisi ya...

Habari Mchanganyiko

Waziri Ummy: Corona ipo

LICHA ya ripoti ya maambukizi ya virisi vinavyosababisha ugonjwa wa corona kupungua nchini, ugonjwa huo haujaisha nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa...

Habari Mchanganyiko

Benki ya TPB, TIB Corparate zaunganishwa

SERIKALI ya Tanzania imetangaza kuziunganisha Benki ya TPB na TIB Corparate kuanzia leo tarehe 1 Juni, 2020. Anaripoti Mwandishi, Dodoma … (endelea). Akizungumza...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu Majaliwa awanyooshea kidole waliochukua mali za mkonge

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali ya inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli, itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la...

Habari Mchanganyiko

Ya Martin Luther king 1968, yashuhudiwa tena 2020 Marekani

MAANDAMANO, vurugu na uharibifu katika kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani mwaka 1968, chini ya mwanaharakati Martin Luther King Jr, sasa yanashuhudiwa tena. Inaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Takukuru nusura wamdake ‘mgombea’ ubunge CCM Ubungo, wanne mbaroni

MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anayejipanga kugombea ubunge katika Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam (jina tunalo), amewatoroka Taasisi ya Kuzuia...

Michezo

Ratiba Ligi Kuu Bara hadharani

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo leo ametangaza ratiba ya michezo iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi daraja la...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro: Hatutaki matatizo uchaguzi mkuu 2020

IGP Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini amesema, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, jeshi hilo halitaki matatizo na mtu yeyote....

Makala & Uchambuzi

Alibakwa, akaambukizwa Ukimwi, sasa shujaa

NI binti anayetimiza miaka 28 mwaka huu. Alibakwa akiwa na miaka 10 na kuwa chanzo cha kuambukizwa ugonjwa wa ukimwi. Ameishi na virusi...

Habari Mchanganyiko

Dawasa wakabidhiwa miradi 341, Prof. Mkumbo awapa heko

WIZARA ya Maji nchini Tanzania, imeipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), kwa kushughulikia matatizo ya maji kwa...

error: Content is protected !!