Sunday , 19 May 2024

Month: June 2020

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Chadema aomba kujiunga CCM

MBUNGE wa Momba (Chadema), David Silinde ametangaza kujiondoa ndani ya chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Mbowe ahamishiwa Hospitali ya Aga Khani Dar

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzania Bungeni nchini Tanzania amehamishiwa Hospitali ya Aga Khani, Dar es Salaam kwa matibabu zaidi. Anaripoti...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Nkurunziza afariki dunia

RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo, Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Taarifa zilizothibitishwa na Msemaji wa Serikali, Balozi Willy...

Habari za Siasa

Lijualikali: Mbowe alikuwa kalewa, hakushambuliwa

MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali amesema, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe hakushambuliwa na watu wasiojulikana bali alidondoka katika ngazi akiwa amelewa....

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Dodoma ni salama, hakuna tatizo

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amevitaka vyombo vya dola nchini humo kutoa haraka taarifa za awali za uchunguzi wa tukio la...

Habari Mchanganyiko

Rufaa ya serikali EACJ yatupwa

MAHAKAMA ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na serikali, baada ya ushindi wa kesi ya kupinga baadhi ya vifungu vilivyoonekena kuwa...

Habari Mchanganyiko

Serikali yakwamisha kesi ya Idriss

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Idriss Sultani, Msanii wa Vichekesho na mwenzake Innocent Maiga baada ya...

Habari za Siasa

Lissu amwomba Rais Magufuli ajiandae kumpokea

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemshauri Rais Magufuli kufanya maandalizi ya kumkabidhi nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Makamu...

Habari za Siasa

Majaliwa amtembelea Mbowe hospitalini 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye amelazwa katika hospitali...

Habari Mchanganyiko

TYC ‘yalilia’ uchaguzi shirikishi Tanzania  

WAKATI  maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 yakiendelea nchini Tanzania, Shirika lisilo la Kiserikali la Tanzania Youth Coalition (TYC) limetaka kufanyika kwa majadiliano...

Kimataifa

Maelfu waaga mwili wa Floyd

MAELFU ya Wamarekani, wamejitokeza katika Kanisa la Houston kuuaga mwili wa George Floyd, mmarekani mweusi aliyeuawa na polisi wa Minnesota na kusababisha kuibuka...

Habari Mchanganyiko

Mbunge ataka wanaume wasiofanyiwa tohara wasioe

RUKIA Kassim Ahmed, Mbunge Viti Maalumu kupitia Chama cha Wananchi (CUF), ameitaka Serikali ya Tanzania kuwazuia wanaume wasiotahiriwa kuoa, ili kuwakinga wanawake dhidi...

Michezo

TFF yaruhusu mechi za kirafiki

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeruhusu kuendelea kwa michezo ya kirafiki kwa klabu kwenye ngazi husika kwa kibali maalumu, ili kuhakikisha...

Kimataifa

Korea Kaskazini, Kusini zakata mawasiliano

HALI ya kutoaminiana kati ya mataifa mawili yenye historia moja na watu wanaofanana – Korea Kaskazini na Kusini – inazidi kuongeza wasiwasi, sasa...

Habari za Siasa

Polisi Tanzania: Tukio la Mbowe lisitumike kisiasa

POLISI Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania, limetoa onyo kwa mtu au kikundi cha watu, kutumia tukio la kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Chadema yatoa kauli kushambuliwa Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelitaka Jeshi la Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania, kufanya uchunguzi wa kina kuhusu...

Habari za Siasa

Mapambano ya corona: Bunge kumpongeza Rais Magufuli

BUNGE la Tanzania, linatarajia kupitisha azimio la kumpongeza Rais wa nchi hiyo, John Pombe Magufuli, kwa namna alivyoliongoza Taifa katika Mapambano dhidi ya...

Michezo

Ni vita ya fedha GSM Vs Mo

‘VITA’ ya fedha inakwenda kutikisha msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (2020/21). Ni baada ya vilabu vikubwa viwili nchini – Klabu Simba...

Habari za Siasa

Kushambuliwa Mbowe: ‘Issue’ ni Uchaguzi Mkuu

TAARIFA za awali zinaeleza, shambulizi alilofanyiwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Taifa, lina uhusiano na uchaguzi mkuu 2020. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ashambuliwa Dodoma, avunjwa mguu

MWENYEKITI wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameshambuliwa na watu wasiojulikana, usiku wa manane wa kuamkia leo Jumanne,...

Michezo

Simba, Yanga, Azam Matatani

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’, limepiga marufuku michezo yote ya kirafiki kwa klabu zote nchini mpaka pale itakapotoa kibali maalumu kutokana...

Habari za Siasa

Bunge lapiga ‘stop’ mtu au mamlaka kuihamisha Serikali Dodoma

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha azimio la kuitaka Serikali kutobadili uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Sitaunda Serikali itakayolipa kisasi

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewasilisha taarifa ya kusudio lake la kutaka kugombea Urais wa Tanzania, kupitia...

Habari Mchanganyiko

Raia wa Armenia kortini kwa kuisababishia Serikali hasara Mil. 44

VARDAN MKHITARYAN (47), raia wa Armenia na mwenzake, wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kwa kosa kuisababishia hasara Serikali...

Habari za Siasa

Dk. Maryrose: Siwahofii Lissu, Msigwa urais Chadema

DAKTARI Maryrose Majinge, aliyejitokeza katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu...

Habari za Siasa

Hoja 5 zilizofanya Bunge limpongeze Spika Ndugai

CHARLES Kitwanga, Mbunge wa Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewasilisha bungeni azimio la kumpongeza Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai. Anaripoti...

Michezo

Simba yaonyesha umwamba kuelekea Ligi Kuu

KLABU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kujipima nguvu kuelekea kuendelea na michezo...

ElimuTangulizi

Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

SERIKALI ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa  pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu...

Habari za Siasa

Askofu Bagonza: Ni Mungu tu asiyekosea

UMMA na mataifa huongozwa na wanadamu. Sifa kuu ya mwanadamu ni kukosea au kuishi katika uwezekano wa kufanya makosa. Anaandika Mwandishi Maalum …...

Habari

Azimio kuzuia Serikali kuhama Dodoma kutua bungeni

BUNGE la Tanzania litapitisha azimio la kuibana Serikali ya nchi hiyo kutobadili uamuzi wa kuhamisha shughuli za Serikali kutoka jijini Dodoma kwenda kwingine....

Habari za Siasa

Bunge la Tanzania kumpongeza Spika Ndugai

BUNGE la Tanzania, linatarajia kupitisha Azimio la kumpongeza Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai kwa mafanikio ya Bunge la 11. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Kimataifa

167 wakutwa na Corona Kenya, wagonjwa wafikia 2,767

UGONJWA unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) nchini Kenya, umeendelea kushika kasi, baada  ya wagonjwa wapya 167 kupimwa na kukutwa na corona. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kwa nini tunaumba Miungu itakayogharimu taifa?

SERIKALI iko mbioni kuwasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Utekelezaji wa Haki na wajibu wa Msingi, Sura ya 3 (The Basic Rights and...

Habari za Siasa

Ado Shaibu: Serikali ilitaka nimlipe Rais Milioni 123

ADO Shaibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema Serikali ilimtaka alipe Shilingi 123 Milioni kama faini ya kushindwa kesi aliyomshtaki Rais John...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wapinga kinga ya Rais, Jaji Mkuu, Spika

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeleeza kuwa nia ya serikali ya kupitisha Muswada wa sheria mbalimbali Na.3 ya mwaka 2020 inalenga  kufunga milango ya kudai...

Habari za Siasa

JPM: Mungu kajibu maombi 

RAIS John Magufuli amesema, Mungu amejibu maombi ya Watanzania kuepusha ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virisi vya corona (COVID-19) nchini. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Membe: Sina sababu ya kuomba radhi

WAZIRI wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa wa zamani wa Tanzania, Bernard Membe amesema, hana sababu ya kumuomba radhi Rais John...

Tangulizi

Safu Mount Meru kufumuliwa

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi wa Hospitali ya...

Kimataifa

Kenya kufungua vyuo, shule Septemba 1

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza kufunguliwa kwa shule na vyuo nchini humo Septemba 1 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rais Kenyatta...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: Rungwe atangaza ‘kutembeza bakuri’

KAMATI Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nchini Tanzania, kimetangaza kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, huku kikitoa wito kwa vyama...

Habari za SiasaTangulizi

CUF:  Tupo tayari kushirikiana lakini… 

CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania,  kimetoa msimamo kuwa kipo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani vyenye dhamira ya kukiondoa madarakani Chama...

Habari za Siasa

Chadema yajitosa Urais Zanzibar, yatoa siku 10

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  kimefungua milango ya wanachama wake wanaotaka kuwania urais wa Zanzibar,  kuandika barua kwenye ofisi ya naibu katibu...

Habari za Siasa

Uchaguzi mkuu 2020: TYC yatoa somo kwa vyama vya siasa Tanzania

VYAMA vya siasa nchini Tanzania, vimetakiwa kuweka mazingira sawa ya ushiriki wa wanawake, vijana na wenye umelavu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020....

Kimataifa

Wagonjwa wa corona wafikia 2,474 Kenya, Rais Uhuru asubiriwa

SERIKALI ya Kenya imesema, wagonjwa wa corona (COVID-19) nchini huyo wamefikia 2,474. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jana...

Habari Mchanganyiko

Tuhuma Mil. 1 yawafikisha kortini mganga mkuu, mfamasia Rombo

DK. Christon Nkya, aliyekuwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Rombo mkoani Kilimanjaro na mfamasia wa zamani wa halmashauri hiyo, Remig Massawe, wamefikishwa mahakamani...

Habari za Siasa

TLS yatoa tamko kupinga mahabusu kufanyishwa kazi

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeiomba Serikali ya Tanzania, kusitisha mpango wake wa kufanyisha kazi mahabusu, kwa kuwa unakwenda kinyume na Katiba ya...

Michezo

Mwamuzi atupwa jela mwaka mmoja kwa kupanga matokeo

MAHAKAMA ya Mkoa wa Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja mwamuzi wa mpira wa miguu, Safiel Mjema baada ya kumtia hatiani kwa kosa...

Michezo

Yanga yajiimarisha kurejea Ligi Kuu Bara

KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi yake kwenye viwanja vya chuo cha Sheria, Jijini Dar es Salaam katika hatua ya kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Mchungaji Msigwa amtangulia Lissu ‘urais’ Chadema 

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini tayari amefungua pazia la kugombea urais ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

error: Content is protected !!