Sunday , 19 May 2024

Month: June 2020

Habari za Siasa

Lissu kueleza mikakati ya urais J’tatu

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maaendeleo (Chadema)-Bara amesema, atazungumza na Watanzania Jumatatu tarehe 8 Juni 2020 kuelezea adhima yake...

ElimuHabari Mchanganyiko

Rais Magufuli awataka CWT kuchagua viongozi makini

RAIS wa Tanzania, John  Magufuli, amewawataka viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), wanaotarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, kuja na mipango madhubuti ya kukiimarisha...

Habari Mchanganyiko

Vigogo MSD wadaiwa kukwapua bil 1.6

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)  nchini Tanzania, Laurean Bwanakunu na mwenzake wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli kufungua shule, amshangaa Spika kuvaa barakoa

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania, amesema atafungua shule za msingi na sekondari hivi karibuni, kama ataridhishwa na kasi ya upunguaji wa maambukizi...

Habari za Siasa

CWT yamwomba Rais Magufuli awaache vizuri

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeiomba Serikali kuajiri walimu wapya, ili kuondoa changamoto ya uhaba wa walimu iliyotokana na mpango wa elimu bila...

Habari za Siasa

Matiko aambiwa ‘Watumishi waliokuwa ardhi, wamehamishwa’

WIZARA ya Nchi Ofisi wa Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeeleza, watumishi wa sekta ya ardhi waliokuwa chini...

Habari za Siasa

Mrema: Piga ua galagala Dk. Magufuli atashinda Urais

MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party,  (TLP) Augustine Lyatonga Mrema amesema, katika uchaguzi mkuu mwaka 2020 chama chake hakitaweka mgombea wa Rais...

Habari Mchanganyiko

Ofisa Takukuru ‘feki’ abambwa kwa kujipatia Sh. 90,000

JAFET Emmanuel, Mkazi wa Kilimahewa katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwa kosa la...

Kimataifa

Serikali yahaha kuzuia maandamano Australia

KUANZIA kesho Jumamosi tarehe 6 Juni 2020, miji mbalimbali ya Australia inatarajia kushuhudia maelfu ya raia wake kushiriki maandamano kupinga ubaguzi wa rangi....

Habari Mchanganyiko

Usafiri treni Dar-Moshi kuanza ndani ya siku 14

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema, ndani ya siku 14 zijazo, litarejesha safari za treni za mizigo na abiria kati ya Dar es...

Habari Mchanganyiko

‘Bosi’ MSD, mwenzake kortini tuhuma za utakatishaji fedha

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itawafikisha mahakamani aliyekuwa mtendaji mkuu wa Bohari...

Habari za Siasa

Kinana: Naomba Rais Magufuli anisamehe

KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amejitokeza hadharani na kumuomba msamaha Rais John Magufuli, kutokana na mazungumzo yaliyofanyika kwa...

Habari Mchanganyiko

ACT-Wazalendo: Tumeupokea mwaliko wa Chadema

CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, kimeupokea kwa mikono miwili mwaliko uliitolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kauli...

Habari Mchanganyiko

Waziri Ummy aonya wavuta sigara hadharani, atoa maagizo

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi NEMC wasomewa mashtaka tisa

WAFANYAKAZI wanne wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, wakikabiliwa na kesi ya...

Kimataifa

Wagonjwa 124 wa corona waongezeka Kenya

SERIKALI ya Kenya imetangaza wagonjwa wapya 124 wa virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Akizungumza na waandishi wa habari leo...

Habari Mchanganyiko

‘Rais, Spika na Jaji Mkuu hawatoshitakiwa Tanzania’

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa marekebisho...

Habari Mchanganyiko

Laki 2 yamponza ‘mwenyekiti serikali’ ya mtaa

ALLY Mohamed Mtiga, mwenyekiti wa kamati ya mazingira mtaa wa Tambukareli Kata ya Azimio wilayani Temeke, Dar es Salaam, anashikiliwa na Taasisi ya...

Habari Mchanganyiko

Mamia wamzika mpigapicha wa waziri mkuu Tanzania

MKUU wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Tom Apson ameongoza mazishi ya Chris Mfinanga, aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa yaliyofanyika kwenya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia ‘amwita’ Mbowe, Zitto mezani

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ‘wamealikwa’ kwenye meza ya mazungumzo...

Makala & Uchambuzi

Wanawake wanapenyaje uchaguzi mkuu 2020?

JOTO la uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 limeanza kufukuta, vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kuweka mikakati yake ya kupata wagombea. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Mwenyekiti...

Kimataifa

Waliopona corona duniani milioni 3.1, vifo 388,353

WAGONJWA  wa virusi vya corona (COVID-19) waliopona duniani wafikia 3,183,578 huku vifo vikiwa 388,353. Unaripoti mtandao wa Worlometer … (endelea). Hadi kufikia leo...

Kimataifa

Ripoti: Floyd alikuwa na corona, Uingereza na Ujerumani zalaani

UCHUNGUZI wa awali wa afya ya George Floyd umeonesha kwamba, alikuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha homa kali ya mapafu corona (COVID-19). Inaripoti mitandao...

Habari Mchanganyiko

Maofisa wanne NEMC kufikishwa mahakamani

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawafikisha watumishi wanne wa Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) katika Mahakama ya...

Habari Mchanganyiko

Balozi Seif akerwa talaka za ovyo, unyanyasaji Z’bar

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ameitaka Tume ya Haki za Binadamu Tanzania kufanya wajibu wake wa kuwaelimisha...

Habari za Siasa

Mbunge Lwakatare, kula matapishi yake?

WILFRED Muganyizi Lwakatare, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Bukoba Mjini, mkoani Kagera, aliyetangaza kustaafu mbio za ubunge,...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateta na vigogo wa CCM Ikulu

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Pombe Magufuli amefanya kikao na viongozi waandamizi wa chama hicho akiwemo Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed...

Habari Mchanganyiko

Maofisa 4 NEMC mbaroni tuhuma za utakatishaji fedha

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawashikilia watumishi wanne wa Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) kwa tuhuma mbalimbali...

Habari Mchanganyiko

Watatu mbaroni tuhuma mauaji ya dereva tax Dar

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva tax (UBER), Joseph Tillya Mpokala,(51),Mkazi...

Habari Mchanganyiko

Papa Francis atoa wito

PAPA Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani amesema, dunia haiwezi kupuuza ubaguzi wa rangi na kutengwa kwa watu. Inaripoti Mitandao ya kimataifa...

Habari za Siasa

Spika Ndugai, Mwambe wapeta

MAHAKAMA Kuu Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba ya kupinga uamuzi wa Job Ndugai, Spika wa Bunge kumrejesha bungeni...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lisu: Nitagombea urais

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maaendeleo (Chadema)-Bara, amesema atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Mnyika: Tunataka tume huru, nguvu ya umma haijawahi kushindwa

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, ameitaka Serikali kutumia kipindi kifupi kilichobaki cha uhai wa Bunge, kupeleka muswada...

Habari Mchanganyiko

Rushwa ya 100,000 yamponza muuguzi

RICHARD Zablon, muuguzi katika Zahanati ya Chamwino, jijini Dodoma, leo tarehe 3 Juni 2020 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo, kwa...

Habari za Siasa

Uchaguzi mkuu 2020: Chadema yafungua milango ya ushirikiano

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimefungua milango ya majadiliano na vyama vingine vya upinzani ili kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa...

AfyaMakala & Uchambuzi

Ufahamu ulemavu wa miguu kifundo na madhara yake

SIKU ya miguu kifundo au nyayo za kupinda ulimwenguni huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Tarehe hii ilitokana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yapuliza kipyenga cha Urais

CHAMA cha Demokrasia ya Maendeleo (Chadema) kimefungua milango kwa watia nia wa urais wa chama hicho kuanzia leo Jumatano tarehe 3, Juni hadi...

Habari Mchanganyiko

Akopesha wananchi kisha awasulubu

NELSON Ndalu (67) anatuhumiwa kukopesha wananchi kwa riba kubwa na kisha kuwafilisi kwa kutaifisha mali zao kinyume cha sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Kimataifa

Trump amejifunza kwa Bush?

KAMA mji au jimbo litashindwa kuchukua hatua muhimu za kurejesha hali ya amani, basi nitatumia jeshi la Marekani kufanya kazi hiyo. Inaripoti Mitandao...

Habari Mchanganyiko

Uhamiaji wakabidhiwa nyumba 103, Majaliwa awapa ujumbe

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kutambua wajibu wao wa kutoa huduma iliyobora na inayokidhi matarajio ya wateja ambao...

Habari Mchanganyiko

Bei za petroli, dizeli Dar ‘buku jero’

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ya Petroli, Dizeli na mafuta ya taa zitakazoanza...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: NEC yabebeshwa tuhuma mpya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inalaumiwa kubagua vyama vya siasa vya upinzani. Ni katika maboresho ya kanuni mbalimbali za uchaguzi. Anaripoti Faki...

Habari Mchanganyiko

Makonda aruhusu daladala kusimamisha wanafunzi, atoa onyo kwa polisi 

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda, ameziagiza daladala jijini humo, kutowaacha wanafunzi vituoni kwa kigezo cha kubeba abiria...

Habari Mchanganyiko

Aliyekuwa bosi MSD, mwenzake mikononi mwa Takukuru

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inamshikilia aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Kaimu mkurugenzi wa Lojistiki wa...

Kimataifa

Mayweather kugharamia msiba wa Floyd

FLOYD Mayweather, bondia anayeongoza kwa kulipwa fedha nyingi dunia, amesema atalipa gharama zote zitazohitajika katika msiba wa George Floyd. Inaripoti mtanzano wa BBC…(endelea). Floyd,...

Habari za SiasaTangulizi

Ubunge, udiwani CCM kaa la moto, Takukuru, Polisi wapewa rungu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimetoa utaratibu mpya utakaotumika kuwapata wagombea udiwani, ubunge na uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Kelvin...

Habari za SiasaTangulizi

Ofisa TRA, wenzake 17 wa CCM mbaroni tuhuma za rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mtwara, imewakamata wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 18 akiwamo Ofisa wa Mamlaka...

Habari Mchanganyiko

Gazeti la MSETO lashinda kesi tena mahakamani

MAHAKAMA ya Rufaa ya Afrika Mashariki (EAC), imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na Jamhuri dhidi ya gazeti la kila wiki la MSETO, kupinga gazeti...

Kimataifa

Mauaji Chicago, Trump atishia kutumia jeshi, Obama alaani

MAMBO yanazidi kwenda mrama Marekani, mauaji yanaanza kushuhudiwa kwenye maandamano ya kulaani kuuawa kwa Mmarekani mweuzi, George Floyd akiwa mikononi mwa polisi. Inaripoti mitandao...

Habari za Siasa

Ugawaji majimbo Z’bar, ACT-Wazalendo ‘walia’ figisu, ZEC yawajibu

JOTO la Uchaguzi wa urais, wabunge na wawakilishi utakaofanyika Oktoba 2020, visiwani Zanzibar, limepamba moto huku kukiwa na tuhuma za vyama vya upinzani,...

error: Content is protected !!