Thursday , 28 March 2024
Home Habari Mchanganyiko Maofisa wanne NEMC kufikishwa mahakamani
Habari Mchanganyiko

Maofisa wanne NEMC kufikishwa mahakamani

Spread the love

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawafikisha watumishi wanne wa Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa tuhuma za rushwa na uhujumu uchumi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)

Watuhumiwa hao ni; Deusdedith Katwale, Magori Matiku na Obadia Machupa ambao wote ni maafisa mazingira na Lydia Nyinondi ambaye ni Mhasibu Msaidizi. Wote wa makao makuu.

Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 na Afisa Uhusiano wa Takukuru, Doreen Kapwani imesema, “watuhumiwa hawa, watasomeshwa mashtaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam,” amesema Doreen

Jana Jumatano, Doreen alitoa taarifa kuzungumzia watuhumiwa hao akitaja tuhuma zinazowakabili ni; kula njama na kutenda kosa, kughushi, kuwasilisha nyaraka za uongo, kuisababishia mamlaka hasara, matumizi mabaya ya madaraka pamoja na utakatishaji wa fedha haramu.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE kwa habari zaidi

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Mtandao watetezi wa haki za mazingira Tanzania waundwa

Spread the loveMTANDAO wa watetezi wa haki za mazingira nchini Tanzania, umeundwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kapinga kuongoza usambazaji wa mitungi ya gesi 10,000 ya Taifa Gas

Spread the loveNaibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameahidi kuongoza kwa ufanisi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyabiashara, wawekezaji China waridhia kuwekeza bil. 800 katika sekta 5 nchini

Spread the loveUJUMBE wa wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa kutoka Jimbo la Changzhou...

Habari Mchanganyiko

Bil. 4.42 kumaliza uhaba maji kata 2 Musoma Vijijini

Spread the loveWANANCHI wa kata za Busambara na Kiriba, Jimbo la Musoma...

error: Content is protected !!