September 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Picha: Freeman Mbowe akisafirishwa kuelekea Dar es Salam

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwapungia Mkono Wabunge, Viongozi na Wanachama walitokeza kumuaga Uwanja wa Ndege Dodoma.

Spread the love

Wabunge wa Chadema na Viongozi Mbalimbali wachama Pamoja na Wanachama waliyojitokeza Kumsindikiza FreemanMbowe, wakitoka Airport Baada ya Mbowe Kuingizwa Kwenye Ndege, ikiwa Ni Safari ya Kuelekea Dar Es Salaam, Kwa ajili ya Matibabu.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwapungia Mkono Wabunge, Viongozi na Wanachama walitokeza kumuaga Uwanja wa Ndege Dodoma.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwapungia Mkono Wabunge, Viongozi na Wanachama walitokeza kumuaga Uwanja wa Ndege Dodoma.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipandiswa kwenye Ambulance kwa ajili ya kuelekea Airport kwenda Dar Es Salaam kwa Matibabu Zaidi.
error: Content is protected !!