Sunday , 19 May 2024

Month: June 2020

Michezo

Yanga yashikwa shati na JKT, Lamine Moro kuikosa Azam FC

TIMU ya Yanga imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa mzunguko wa pili Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika...

Michezo

JKT Tanzania yaitangulia Yanga

MLINZI wa kulia wa timu ya JKT Tanzania, Michael Aidan ameifungia bao timu hiyo dhidi ya Yanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)...

Habari Mchanganyiko

Ratiba kuapishwa rais mpya Burundi yabadilishwa

EVARISTE Ndayishimiye, rais mteule wa Burundi anatarajiwa kuapishwa kesho tarehe 18 Juni 2020, badala ya Agosti kama ilivyopangwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Tume...

Habari Mchanganyiko

Wenye Ulemavu Tanzania wampa heko JPM

Jumuiya ya Wanawake ya Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (Shivyawata) wamempongeza Rais John Pombe Magufuli jinsi alivyotambua mchango wa watu...

Habari Mchanganyiko

Kifo cha Rais Nkurunzinza, Majaliwa asaini kitabu cha maombolezi

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza na kutoa pole...

Habari Mchanganyiko

Waziri Ummy aionya bodi mpya ya TMDA

BODI mpya ya ushauri ya Wizara ya Afya kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetakiwa kuisimamia mamlaka hiyo na kuacha kufanya...

Habari Mchanganyiko

India, China ‘vitani,’wanajeshi 20 wauawa

WANAJESHI 20 wa India wameripotiwa kuuawa baada ya kushambuliwa na Jeshi la China mpakani Magharibi mwa Milima ya Himalaya. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa...

Michezo

Bayern washeherekea ubingwa bila mashabiki

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Werder Bremen kwenye Ligi Kuu nchini Ujerumani, Bundesliga, na Bayern Munich na kutangaza...

Habari za Siasa

‘Mtaalam wa uchumi’ Z’bar achukua fomu ya urais CCM

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anayejitambulisha kuwa mtaalamu wa uchumu, Omary Sheha Mussa amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Zanzibar....

Habari za Siasa

Dk. Hussein Mwinyi ajitosa Urais Zanzibar

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi amejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

11 wajitosa Urais Chadema

WANACHAMA 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya Lissu, mahakama yatoa siku 7 kwa serikali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania, imeipa siku saba Serikali kujibu kiapo kinzani kwenye kesi Na. 2 ya  mwaka...

Elimu

Waziri Ndalichako atoa ratiba za masomo, mitihani Tanzania

PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ametangaza ratiba ya mitihani ya kumaliza shule kwa wanafunzi wa shule za msingi na...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli achukua fomu ya Urais CCM

RAIS John Magufuli amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Uchaguzi...

Habari za Siasa

Urais Chadema: Mchungaji ajitosa kuwavaa Lissu, Mbowe na Nyalandu

JOTO la mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linazidi kupamba moto, baada ya mwanachama wa chama hicho, Leonard...

Kimataifa

Uganda yapiga marufuku kampeni za majukwaani

TUME ya Uchaguzi ya Uganda imepiga marufuku mikusanyiko ya kampeni za jukwaani na kuagiza, kampeni za uchaguzi mkuu zifanyike kupitia vyombo vya habari. Inaripoti...

Habari za Siasa

JPM: Asante sana Dk. Shein

RAIS John Magufuli amemshukuru Dk. Ali Shein, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), anayemaliza muda wake kwa ushirikiano aliompa katika utekelezaji wa...

Michezo

Man City, Arsenal dimbani Kesho, EPL kurejea

BAADA ya kusimama kwa takriban miezi mitatu, hatimaye Ligi Kuu nchini England kurejea kesho kwa michezo miwili ambapo klabu ya Manchester City itaikalibisha...

Habari za Siasa

JPM apiga kijembe Chadema

RAIS John Magufuli na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ‘amerusha dongo’ kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akisema, ‘kukimbia changamoto ni...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Uchaguzi utakuwa huru kwa vyama vyote lakini…

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 utafanyika kwa amani, huru na haki huku akionya yeyote atakayethubutu kuuvuruga...

Habari za SiasaTangulizi

Shule zote Tanzania kufunguliwa Juni 29

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameagiza shule zote nchini humo zifunguliwe tarehe 29 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea), Rais...

Habari za Siasa

Awamu ya Tano: Watumishi 32,555 ‘waisoma namba’

JUMLA ya watumishi 32,555 wamechukuliwa hatua mbalimbali za kinidhamu ikiwemo kufukuzwa kazi, kushushwa vyeo na kushushwa mishahara katika serikali inayoongozwa na Rais John...

Habari za Siasa

Zanzibar imepumua – Rais Magufuli

MIONGONI mwa mambo ambayo Rais John Magufuli anayojivunia katika uongozi wake wa miaka mitano, ni amani visiwani Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Tumefanikiwa

TANZANIA imetajwa kuwa nchi ya kwanza kwa utulivu na amani katika Ukanda wa Afrika Mashariki, pia imeshika nafasi ya saba katika nchi zilizo...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Rais amesaini miswada sita

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesaini miswada sita iliyopitishwa na Bunge la 11. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Miswada hiyo ni Muswada wa...

Habari za Siasa

Vigogo wamiminika bungeni, JPM kulifunga Bunge

RAIS wa Tanzania, John Magufuli leo Jumanne tarehe 16 Juni 2020 analihutubia Bunge la 11 na kulivunja jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea),...

Habari za Siasa

Rais Magufuli kuhitimisha Bunge leo

SAFARI ya Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoanza siku 1670 zilizopita inahitimishwa leo Jumanne tarehe 16 Juni 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Urais Chadema: Mbowe ‘kuwavaa’ Lissu, Nyalandu na Dk.Maryrose

FREEMAN Mbowe, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kutia nia kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema)....

Afya

Majaliwa: Wagonjwa wa corona Tanzania wabaki 66

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kwa sasa yamepungua na...

Habari za Siasa

Majaliwa ahitimisha mkutano wa Bunge kwa kueleza mafanikio makubwa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka mitano...

Habari za Siasa

Idadi ya wapiga kura Tanzania waongezeka

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema idadi ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura imeongezeka ambapo wapiga kura halali kwa mwaka 2020 ni 29,804,992 ikilinganishwa...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge Tanzania lafanya mabadiliko makubwa ya kanuni

BUNGE la Tanzania, limepitisha mabadiliko makubwa ya kanuni zake ambazo zitaanza kutumika katika Bunge la 12 ikiwemo kubadili jina la Kambi Rasmi ya...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yaadhimisha siku ya mtoto wa kiafrika kwa maboresho ya sheria

SERIKALI nchini Tanzania inatarajia kuazimisha siku ya mtoto wa Afrika kesho tarehe 16 Juni, 2020 huku ikimarisha mfumo wa kisheria kwenye ustawi wa...

Habari za Siasa

Wabunge watatu Chadema watimkia CCM

WABUNGE watatu wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Kimataifa

Corona yatikisa Kenya, watumishi wanne Ikulu waambukizwa

UGONJWA unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) umeendelea kutikisa nchini Kenya, baada ya watumishi wanne wa Ikulu kubainika kuwa na ugonjwa huo. Inaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge upinzani akimbilia CCM

REHEMA Migira, Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Wananchi (CUF), amekimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea). Akitangaza kwenye sherehe ndogo...

Habari za SiasaTangulizi

Familia ya Karume Z’bar yataka kurudi Ikulu

FAMILI ya Sheikh Abeid Aman Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, inataka kurejea Ikulu ya Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Mbunge Bwege atangaza kutimkia ACT-Wazalendo

SELEMAN Bungara maarufu ‘Bwege,’ Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) amesema, kuanzia kesho Jumanne Juni 16 2020 baada ya Bunge...

Habari za Siasa

Urais Z’bar: Mbwana afungua pazia CCM

MBWANA Bakari Juma amefungua pazia la uchukuaji wa fomu za kuomba kupitishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi...

Kimataifa

Mweusi akutwa kanyongwa California

ROBERT Fuller (24), mmarekani mweusi amekutwa ananing’inia kwenye mti baada ya kunyongwa katika mji wa Palmdale, Califonia nchini Marekani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Familia...

Habari za Siasa

Bunge lapitisha bajeti, wapinzani wapiga kura ya ndio…

BUNGE la Tanzania, limepitisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2020/21 ya Sh.34.87 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Bajeti hiyo iliwasilishwa bungeni...

Habari za Siasa

Serikali ‘yagomea’ wapinzani bungeni

SERIKALI ya Tanzania imepingana na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, kuhusu kufeli kwa hatua za Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa...

Habari za Siasa

Bunge lakabidhi serikalini shule, Majaliwa awaonya wahadhiri

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali itaendelea kuchukua hatua kali kwa watu wote watakaothibitika kufanya vitendo vya kuwakatisha watoto wa kike ndoto...

Habari za SiasaTangulizi

Urais Chadema: Nyalandu kutekeleza mambo 26 akiwa Rais 

LAZARO Nyalandu, ametangaza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akibainisha vipaumbele 26...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe, ‘azitoboa ’ Bajeti 5 za Rais Magufuli 

KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono,...

Habari za Siasa

Mch. Msigwa: Nina dhamira ya kweli ya urais

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini ametangaza nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na kwamba ana dhamira...

Habari Mchanganyiko

Mweusi mwingine auawa Marekani

IKIWA ni zaidi ya wiki tatu ya maandamano kutokana na polisi wa Minnesota, Marekani kumuua raia mweusi wa taifa hilo George Floyd, tayari...

Habari za Siasa

Mbowe aruhusiwa kutoka hospitalini

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa...

Habari za Siasa

Tukio la Mbowe, Chadema wapinga taarifa ya Polisi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limepinga taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu matokeo ya awali ya uchunguzi wa tukio la Freeman Mbowe,...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea: Siondoki Chadema, nitagombea tena Ubungo

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema atagombea tena jimbo hilo kupitia chama hicho, katika Uchaguzi Mkuu...

error: Content is protected !!