Saturday , 20 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Magufuli kuhitimisha Bunge leo
Habari za Siasa

Rais Magufuli kuhitimisha Bunge leo

John Magufuli, Rais wa Tanzania
Spread the love

SAFARI ya Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoanza siku 1670 zilizopita inahitimishwa leo Jumanne tarehe 16 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)

Bunge hilo la 11 linaloongozwa na Spika Job Ndugai lilianza safari yake rasmi tarehe 20 Novemba 2015 kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli kulizindua.

Siku ya uzinduzi wa Bunge hilo, wabunge wote wa upinzani, wakiongozwa na Freeman Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni walitoka ndani ya ukumbi.

Leo Jumanne, Rais Magufuli anakwenda kulihutubia Bunge hilo ili kuruhusu kwenda katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2020.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE & MwanaHALISI TV kwa habari zaidi

1 Comment

  • Hili ndio Bunge la hovyo zaidi kutokea tangu Uhuru!! Kwa kweli mhimili huo wa dola haujapata kiongozi mahiri tangu kuondoka kwa Mzee Samuel Sitta. Bunge la Sasa lilijikita zaidi katika kujipendekeza kwa rais Magufuli!! Shame of CCM MPs.😬

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Dk. Mwakyembe : Zanzibar waliongoza kutaka Serikali 2 za muungano

Spread the love  MWANASIASA mkongwe nchini, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema mjadala wa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataja mikakati ya kufikia trilioni 2 biashara Uturuki, Tz

Spread the loveWakati Tanzania na Uturuki zikidhamiria kuongeza kiwango cha biashara hadi...

BiasharaHabari za Siasa

Mavunde aagiza Perseus kuharakisha fidia Sengerema

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameipongeza Kampuni ya Perseus kwa...

Habari za Siasa

Kigogo Chadema awanyooshea vidole vigogo serikalini kuhusu ripoti ya CAG

Spread the love  MWANACHAMA wa Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amedai...

error: Content is protected !!