December 5, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Wabunge watatu Chadema watimkia CCM

Lathifah Chande, Mbunge Viti Maalum Chadema

Spread the love

WABUNGE watatu wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Uamuzi huo wametangaza uamuzi huo ndani ya Bunge jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 15 Juni 2020.

Wabunge hao ni;  Dk. Immaculate Semesi, Anna Gidarya na Lathifah Chande.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE & MwanaHALISI TV kwa habari zaidi

 

error: Content is protected !!