Tuesday , 7 May 2024

Month: June 2020

Habari Mchanganyiko

Uchaguzi mkuu 2020: Polisi Dar lawaonya wanasiasa, lasema…

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewaonya wanasiasa kujiepusha na vitendo vya ukiukwaji wa sheria kuelekea maandalizi ya...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Tanzania tutaisaidia Burudi kujiunga SADC kumuenzi Nkurunziza

TANZANIA imeahidi kuisaidia Burundi ili iweze kujiunga katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo yamesemwa leo Ijumaa tarehe 26...

Michezo

Klopp amwaga chozi, ubingwa wa Liverpool

KOCHA wa timu Liverpool Jurgen Klopp ameonesha hisia kali za furaha mara baada ya timu yake kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu nchini England,...

Kimataifa

Corona yaendelea kuitesa Kenya, vifo vyafikia 137

SERIKALI ya Kenya imeripoti wagonjwa wapya 149 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 3,090 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Kigogo TPA, wakili  waunganishwa kesi uhujumu uchumi, mwingine asakwa

JAPHETI Jirori, aliyekuwa Meneja Usimamizi wa Akaunti za Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Wakili Arnold Temba, Mkurugenzi wa Kampuni ya ELA Advocate...

Habari za Siasa

Mtoto wa Rais Jumbe ajitosa Urais Zanzibar, wagombea wafika 30

MUSSA Aboud Jumbe, amekuwa mwanachama wa 30 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kuchuchukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho katika...

Habari Mchanganyiko

Takukuru Dodoma yala sahani moja  wenye madeni sugu

TAASISI ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma, imevikabidhi vyama vya akiba na mikopo (Saccos) vya MWASHITA  na  DUWASA kiasi...

Michezo

Mashabiki Mbeya City, Simba na Yanga wapigwa ‘stop’

SERIKALI ya Tanzania imetoa zuio la Timu ya Mbeya City kucheza michezo yake ya nyumbani ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL)...

Kimataifa

Mwili wa Nkurunziza kuzikwa leo 

SAFARI ya mwisho hapa duniani ya aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza inahitimishwa leo Ijumaa tarehe 26 Juni 2020. Anaripoti Mitandao ya Kimataifa...

ElimuTangulizi

Serikali ya Tanzania yatoa maelekezo ulipaji ada shule binafsi

SERIKALI ya Tanzania imesema, ada za shule nchini humo zilipwe kulingana na makubaliano yaliyofikiwa mwanzoni mwa mwaka wa masomo 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Kushambuliwa Lissu, Mbowe: Chadema ‘tumepoteza imani’

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakina imani na uchunguzi unaofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu viongozi wake walioshambuliwa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...

Afya

Milioni 780 kupambana na dawa za kulevya Tanga 

SERIKALI ya Tanzania imepata Sh. 780 milioni  kwa ajili ya kujenga kliniki ya huduma za methadone kwa waathirika wa dawa za kulevya mkoani...

Habari za Siasa

M/kiti, Katibu CCM mikononi mwa Takukuru

BAKARI Khatibu, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Maisaka Kati wilayani Babati na katibu wake Juma Swalehe, wanashikiliwa na Taasisi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaeleza mashaka ya Lissu kurejea

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), harejei nchini kwa kuwa, bado ana mashaka na maisha yake. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari Mchanganyiko

Mufti Zubeir: Hakuna hijja

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limesema mwaka huu hakutakuwa na ibada ya Hijja, kutokana na janga la Virusi vya Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu Majaliwa awaondoa hofu wakulima Tanzania

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka wakulima wa mazao mbalimbali ya biashara wakiwemo wakulima wa ufuta waendelee na kilimo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Kimataifa

Upinzani kuchukua nchi Malawi

KUNA kila dalili kwamba, mgombea wa upinzani nchini Malawi, anaweza kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika juzi tarehe 23 Juni 2020. Unaripoti...

Michezo

Simba kutangazia ubingwa Mbeya

TIMU ya Simba inahitaji pointi mbili kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo baada ya jana kuibuka na...

Habari za Siasa

Mwandishi wa habari ajitosa Urais Zanzibar, wagombea wafika 29

SHAAME Simai Mcha ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari, amejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali ya Tanzania yaipa THRDC siku saba kujieleza

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umepewa siku saba  na Serikali kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kisheria, kutokana na...

Michezo

Bodi ya Ligi yampiga Rungu Lamine Moro

BEKI wa Yanga, Mghana Lamine Moro amfungiwa michezo mitatu na kulipa faini ya Sh. 500,000, kwa kosa la kumrukia mgongoni mchezaji wa JKT...

Habari za SiasaTangulizi

Membe amkosoa Jaji Warioba

MWANADIPLOMASIA mashuhuri nchini Tanzania, Bernard Kamillius Membe, amekosoa utaratibu unaotumika na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kumtafuta mgombea wake wa urais. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Tutawahudumia Watanzania wote bila ubaguzi

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli itaendelea kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili Watanzania wote zikiwemo za...

Habari za Siasa

Zitto na wenzake waachiwa, asema…

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa chama cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo na viongozi wengine waliokuwa wakishikiliwa na Polisi Mkoa wa Lindi...

Michezo

Mkude, Morrison nje mechi mbili

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude na nyota wa Yanga, Bernard Morrison wamefungiwa kucheza michezo miwili pamoja na faini ya Sh. 500,000 kwa makosa...

Habari za Siasa

Mbatia ajibu ‘acheni umbea’

TUHUMA kwamba siasa za James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, sasa hivi zimepoa, zimemsukuma kusema ‘acheni umbea.’ Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi arejesha fomu, asifu demokrasia CCM

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi amerejesha fomu za kuwania Urais wa Zanzibar ndani ya Chama Cha...

Kimataifa

Wagonjwa 254 wakutwa na Corona Kenya

UGONJWA  wa virusi vya corona (COVID-19) umeendelea kushika kasi nchini Kenya baada ya wagonjwa wapya 254 kuripotiwa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea)....

Habari za Siasa

Mbatia: Suluhu ya UKAWA 2015 haijapatikana

VYAMA vya upinzani vimetakiwa kuondoa manung’uniko yaliyojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, kabla ya kuingia ushirikiano mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: Mbatia amtumia salamu bosi wa NEC

CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimetuma ujumbe wa Jaji Semistocles Kaijage,  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuhakikisha watendaji wake wanatenda haki kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Wanawake washika kasi Urais Z’bar, wagombea wafika 26

MBIO za kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 zinazidi kushika kasi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya...

Habari Mchanganyiko

DC Katambi amsimamisha afisa  kitengo cha ardhi, aagiza uchunguzi

MKUU wa Wilaya (DC) ya Dodoma mjini nchini Tanzania, Patrobasi Katambi ametangaza kumsimamisha kazi, Hadson Magomba, afisa kitengo cha mipango miji katika Jiji...

Habari Mchanganyiko

Mchimbaji Tanzanite aibuka bilionea, JPM ataka alipwe

SANINIU Laizer, amekuwa Mtanzania wa kwanza kuvunja rekodi ya uchimbaji mawe makubwa ya madini ya Tanzanite, yenye thamani ya Sh. 7.8 bilioni. Anaripoti...

Habari za Siasa

IGP Sirro: Kama Mbowe kadanganya…

SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) amesema, kama Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kadanganya kuhusu...

Habari za Siasa

Diwani Chadema kugombea ubunge NCCR-Mageuzi

MUSTAFA Muro, aliyekuwa Diwani wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameomba ridhaa ya kugombea ubunge katika...

Habari za SiasaTangulizi

IGP Sirro amwinda Lissu

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, anawindwa na Jeshi la Polisi nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Simon...

Michezo

EPL hakuna kulala, michezo mitano kupigwa leo

LIGI Kuu England inaendelea tena leo kwa kupigwa michezo mitano ambapo Manchester United itashuka dimbani kuikabili Sheffield United kwenye dimba la Old Traford....

MichezoTangulizi

Yanga yamjia juu Morisson, wampiga faini

UONGOZI wa klabu ya Yanga umempiga faini ya Sh. 1.5 Milioni nyota wake raia wa Ghana, Benard Morrison kwa kufanya mahojiano na mwandishi...

Habari za Siasa

Mwanamke mwingine ajitosa  Urais Zanzibar

HASNA Atai Masoud, amekuwa mwanamke wa pili kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Majaliwa: Vijiji vyote Tanzania kufikiwa na umeme

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli, imedhamiria kufikisha huduma ya umeme katika...

Habari Mchanganyiko

THRDC, MISA-TAN yalaani kufutwa leseni Gazeti la Tanzania Daima

UAMUZI wa Idara ya Habari na Maelezo nchini Tanzania kusitisha leseni ya uzalishaji na uchapishaji wa Gazeti la Kila Siku la Tanzania Daima,...

Habari za Siasa

Afya ya Bwege yaimarika, aunganishwa na kina Zitto

SELEMAN Bungara maarufu Bwege, Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) amefikishwa Kituo cha Polisi cha Lindi Mjini akitokea Kilwa Masoko....

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, wenzake wasafirishwa usiku kwa karandinga

JESHI la Polisi Mkoa wa Lindi limemsafirisha usiku kwa usiku Zitto Kabwe, kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na wenzake kutoka Kilwa Masoko kwenda...

Habari za SiasaTangulizi

Membe: Mwaka huu nitagombea urais

BERNARD Membe, aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, atagombea urais. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Warioba: JPM kugombea pekee, kuna sharti

JAJI Mstaafu Joseph Warioba, amsema ni utamaduni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu rais aliyepo madarakani kutetea kiti chake iwapo hajakiangusha chama. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Serikali yafuta leseni ya Gazeti la Tanzania Daima

GAZETI la kila siku la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Kampuni ya Free Media Limited, limeingia kifungoni kwa muda usiojulikana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Majaliwa: Milioni 700 kujenga shule ya wasichana Ruangwa  

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu kwa watoto wa kike nchini kote ikiwemo wilaya ya Ruangwa ambayo imepewa...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yawashikilia Wafanyakazi 30 MSD

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inawashikilia wafanyakazi 30 wa Bohari ya Dawa (MSD) Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za ubadhirifu...

Michezo

Yanga kujiuliza kwa Namungo kesho

KIKOSI cha Yanga kesho inatarajia kuikabili Namungo FC, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kutoka sare kwenye mchezo uliomalizika dhidi...

Habari za Siasa

Mwanamichezo ajitosa Urais Zanzibar

HASHIM Salum Hashim, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), amejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Zanzibar, kupitia...

error: Content is protected !!