Saturday , 20 April 2024
Home Kitengo Michezo EPL hakuna kulala, michezo mitano kupigwa leo
Michezo

EPL hakuna kulala, michezo mitano kupigwa leo

Spread the love

LIGI Kuu England inaendelea tena leo kwa kupigwa michezo mitano ambapo Manchester United itashuka dimbani kuikabili Sheffield United kwenye dimba la Old Traford. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea).

Michezo mingine kwenye ligi hiyo itaikutanisha Liverpool ambao wataikalibisha Crystal Palace, Norwich City dhidi ya Everton, Wolverhampton wanderers na Bournemouth na Newcastle United wataikabili Astorn villa.

Ligi hiyo ambayo ilisimama kwa miezi mitatu kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19, imesalia michezo nane kumalizika kwa msimu huu.

Mpaka sasa liverpool ndio vinara kwenye msimamo wa ligi akiwa na pointi 83, huku akifuatiwa na Manchester City mwenye pointi 63, Leicester city pointi 55 na nafasi ya nne akiwa Chelsea akiwa na pointi 51, na nafasi ya mwisho ikishwa na  Norwich yenye alama 21, huku klabu za Astornvilla, Bournemouth na West Ham United zikipambana kutoshuka daraja.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Anza Jumamosi yako na mkwanja wa Meridianbet

Spread the loveJumamosi ya leo ODDS zimekaa kijanja sana ndani ya Meridianbet...

Michezo

Tusua mkwanja na mechi za Ijumaa leo

Spread the love  LEO hii mechi zinaendelea kote na wewe kama unataka...

Michezo

Piga pesa na mechi za EUROPA leo hii

Spread the love Hatimaye Alhamisi ya EUROPA imefika ambapo leo hii mechi...

Michezo

Leo ni leo nani kutinga nusu fainali UEFA?

Spread the love HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo...

error: Content is protected !!