Saturday , 20 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Takukuru yawashikilia Wafanyakazi 30 MSD
Habari Mchanganyiko

Takukuru yawashikilia Wafanyakazi 30 MSD

Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mwanza, Emmanuel Stenga
Spread the love

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inawashikilia wafanyakazi 30 wa Bohari ya Dawa (MSD) Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za ubadhirifu wa dawa na vifaa tiba zenye thamani ya zaidi ya Sh. 254 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea).

Mbali na wafanyakazi hao, pia kuna mtumishi mmoja wa wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto.

Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mwanza, Emmanuel Stenga akitoa taarifa ya kushikiliwa kwa watumishi hao leo Jumanne tarehe 23 Juni 2020 amesema, uchunguzi unaendelea na watakaobainika wafanyikishwa mahakamani.

“Natoa wito kwa wafanyakazi wa umma kuridhika na vipato vyao,” amesema Stenga.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wauguzi, madaktari 1000 kugawiwa mitungi ya Oryx Gas

Spread the loveKAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yachaguliwa Makamu wa Rais Tume ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani

Spread the love  TANZANIA kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)...

Habari Mchanganyiko

NEMC yaonya wanaojenga bila tathmini ya mazingira

Spread the loveBARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika

Spread the loveUbunifu wa bidhaa bora wa Benki ya NMB pamoja na...

error: Content is protected !!