Tuesday , 21 May 2024

Month: May 2023

Habari za Siasa

Lissu: Chadema haijawahi kuridhiana na Serikali

CHAMA Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Serikali ianze kutekeleza dhana ya maridhiano mapema kabla ya kubandika kwenye matangazo kuwa wameridhiana  kumbe si...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango akemea viongozi wa dini kuburuzana mahakamani

MAKAMU wa Rais  Dk. Philip Mpango amewataka viongozi wa dini nchini kuwa na utaratibu wa kusuluhisha migogoro yao wenyewe badala ya kuipeleka mahakamani....

Habari za Siasa

ACT wazalendo wampa tano Samia kufufua mchakato Katiba mpya

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeunga mkono na kuikaribisha kwa mikono miwili hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kumuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa...

Habari za Siasa

Katiba mpya hiyoo! Samia aagiza Msajili kuitisha kikao maalumu

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuitisha kikao maalum cha Baraza la vyama hivyo...

Habari Mchanganyiko

Polisi wachunguza kifo cha mwanamke anayehusishwa katika ajali ya Naibu Waziri

JESHI la Polisi nchini limeanza uchunguzi wa kifo cha mwanafuzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom),  Nusura Hassan Abdallah kinachodaiwa kutokana na kipigo...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kiruswa atoa wiki moja kuweka ‘bicon’ eneo la wawekezaji Kilimanjaro

NAIBU Waziri wa Madin Dk. Steven Kiruswa ametoa wiki moja kuweka alama (bicon) kwenye mipaka baina ya wawekezaji wawili wa uchimbaji wa madini...

Habari Mchanganyiko

CWT Igunga: Rais Samia amerejesha ari ya walimu kufanya kazi

CHAMA cha Walimu (CWT) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, kimesema juhudi za  Rais Samia Suluhu Hassan zinatoa muelekeo chanya wa ukuaji wa sekta...

Kimataifa

Mhuhiri Mackenzie, mkewe walalamika polisi kuwanyima chakula

MHUBIRI mwenye utata kutoka nchini Kenya, Paul Mackenzie pamoja na mkewe ambao wamedaiwa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100 ambao waliwalazimisha kufunga...

Habari Mchanganyiko

NMB yakarabati wodi ya uzazi Muhimbili

BENKI ya NMB imekarabati na kukabidhi wodi ya wazazi pamoja na vifaa tiba kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ukarabati huo uliogharimu zaidi...

Kimataifa

Mfalme Charles wa tatu wa Uingereza atawazwa rasmi

MFALME Charles wa tatu wa Uingereza ametawazwa leo Jumamosi huko Westminster Abbey kama ilivyokuwa kwa wafalme wengi wa nchi hiyo waliomtangulia. Mara ya...

Habari Mchanganyiko

Wachafuzi wa mazingira Dodoma ‘kukiona cha moto’

AFISA  Mazingira wa Jiji la Dodoma Dickson Kimaro amewaagiza watendaji wote wa kata na mitaa ndani ya jiji la Dodoma kuwakamata watu ambao...

Habari Mchanganyiko

Wadau wa mazingira watakiwa kuunga mkono utunzaji wa mazingira

  WADAU wa mazingira mkoani hapa wametakiwa kuunga mkono utunzaji wa mazingira hasa suala la upandaji miti sababu utunzaji wa mazingira ni sawa...

Kimataifa

Mhubiri Paul Mackenzie, mkewe, wenzie 16 wafikishwa mahakamani

MHUBIRI mwenye utata wa kanisa la Good News International lililopo kaunti ya Kilifi Malindi, Kenya na mkewe Rhoda Mackenzie pamoja na watuhumiwa wengine...

Habari za Siasa

Biashara kati ya Tanzania na Ufaransa yafikia 94 bilioni

UKUAJI wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha Sh.  27.8 bilioni kwa mwaka 2015 hadi Sh. 94.5 bilioni kwa...

Habari Mchanganyiko

UNICEF wateta na TEF, “Tz ina mazingira mazuri kulinda watoto”

MKURUGENZI Mkuu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Naysan Sahba amesema Tanzania ina mazingira mazuri ya kulinda...

Habari Mchanganyiko

RC Mwanza ataka FEMATA kuwa kinara wa utunzaji mazingira

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima ameliomba Shirikisho la vyama vya wachimbaji Tanzania (FEMATA) kusimamia suala la utunzaji wa mazingira kwa wachimbaji...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nimekomaa zaidi kisiasa katika miaka 9 ya ACT Wazalendo

  LEO tarehe 5 Mei, ni ACT Dei. Ni siku ambayo Chama cha ACT Wazalendo kilipata usajili wa kudumu. Tunaadhimisha siku hii kwa...

Habari Mchanganyiko

Infinix, Vodacom kuwanufaisha wanafunzi wa Vyuo Vikuu kupitia Hot 30

KAMPUNI ya Vodacom kwa kushirikiana na Infinix leo wametangaza uzinduzi wa simu mpya ya Infinix toleo la HOT  30 pamoja na kampeni ya...

Kimataifa

Uhaba wataalam wa kidijitali waitia dosari China

KUKITHIRI kwa uhaba wataalam wa kidijitali nchini China huku mahitaji ya watalaam hayo yakiongezeka wakati wa kujiimarisha kiuchumi kumetajwa kuwa ni dosari nchini...

Michezo

Meridianbet yazindua wa duka jipya Buguruni Malapa

  KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea kuwasogelea wateja wake baada ya kufanya uzinduzi wa maduka ya kubetia katika maeneo mbalimbali na safari hii wamezindua...

Burudika

Stonebwoy adondosha ‘Dimension’ kolabo na Stormzy, Davido…

MSANII mahiri wa Afro- Dancehall kutoka nchini Ghana aliyesainiwa na lebo ya Def Jam Records, Stonebwoy ameachia albamu mpya ya 5th Dimension, ikiwa...

Habari za Siasa

Mbowe alinigomea kukutana na Magufuli – Job Ndugai

  ALIYEKUWA Spika wa Bunge, Job Ndugai, amedai kuwa aliwahi kumshauri Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kukutana na...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa alitaka baraza la michezo AU kukuza michezo, “tusikubali kushika mkia”

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne kuweka nguvu katika kuhakikisha...

Habari Mchanganyiko

Prof. Muhongo aipa Serikali mbinu ya kumaliza umasikini

WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ameishauri Serikali kupandisha ukuaji wa uchumi wa nchi ili kuondoa umasikini unaowakabili wananchi....

Habari za Siasa

Spika Tulia: Sugu hanitishi, moto wangu anaujua

Spika wa Bunge, Tulia Ackson leo Alhamisi amesema licha ya kuwepo kwa chokochoko kwamba aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema, Joseph Mbilinyi...

Kimataifa

Wabunge wapitisha muswada wa ushoga, wapinga pendekezo la Museveni

BUNGE la Uganda jana Jumanne limepitisha rasimu mpya ya muswada wa kupambana na ushoga nchini humo, huku likibakisha baadhi ya vipengele ambavyo Rais...

Habari Mchanganyiko

TRA yataja viwango vipya kodi ya majengo inayotozwa kupitia luku

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetangaza viwango vipya vya kodi ya majengo vinavyokusanywa kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

ACT Wazalendo yaitaka jamii kulinda watoto

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetoa wito kwa jamii kuhakikisha watoto wanalindwa ili kufikia malengo yao ikiwamo kutimiza ndoto ya kuwa viongozi imara kwa maslahi...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaahidi kuhakikisha tasnia ya habari inasonga mbele

NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amesema Serikali imeahidi kuhakikisha tasnia ya habari inasonga mbele kwa kutatua...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mwinyi: Tanzania inatambua umuhimu wa vyombo vya habari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua umuhimu...

Habari Mchanganyiko

UN yaipongeza Tanzania kuimarisha uhuru vyombo vya habari

UMOJA wa Mataifa umeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini licha ya kukosolewa vikali...

Makala & Uchambuzi

Ulinzi hifadhi za Taifa uwe wa kila mtu

UJANGILI wa wanyamapori bado ni tatizo kubwa katika hifadhi za Taifa. Kwa nchi yetu tuna jumla ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la...

Michezo

Meridianbet yatambulisha promosheni ya Bonus ya Ukaribisho

MERIDIANBET imetanbulisha promosheni mpya ya bonasi ya ukaribisho kutoka kasino ya mtandaoni ambayo inayompa mteja mpya anapata Sh 25,000 na mizunguko 50 ya bure...

Habari Mchanganyiko

NMB yazindua tawi la 229 Arusha, BoT yatoa neno

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeipongeza Benki ya NMB kwa kuwa kinara miongoni mwa mabenki 44 nchini kwa ubunifu wa kuchagiza ukuaji wa...

Habari Mchanganyiko

Abdul Kambaya ang’atuka Chadema,”mimi sio wa kwanza kuondoka”

MWANASIASA maarufu nchini Abdul Kambaya ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiwa zimepita siku 52 tangu alipojiunga na...

Habari Mchanganyiko

Madiwani Songwe wachachamaa mradi wa milioni 600 kukwama

MADIWANI katika halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe, wamemjia juu meneja wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (RUWASA)...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Mchakato wa kuandaa muswada wa sheria ya habari umefikia 80%

SERIKALI za Tanzania Bara na Zanzibar zimesema mchakato wa kupatikana kwa Sheria ya Habari yenye kukidhi mahitaji ya wadau upo katika hatua za...

Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri aipongeza GGML kwa kutoa fursa za ajira, zabuni kwa Watanzania

NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu, Patrobas Katambi ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Habari Mchanganyiko

SDGCA yazifunda asasi za  kirai kuhusu fursa za SADC

ASASI za Kirai (CSOs) na sekta binafsi nchini zimeshauriwa kushiriki kikamilifu fursa zilizopo kwenye nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...

Habari Mchanganyiko

DC Mgeni ataka usimamizi  wa miradi ya maendeleo

MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka watendaji Serikali kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo ya maji, ili iweze...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania – NGOs

  MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili iliyopita, yakisema...

Habari za Siasa

Hatma ya kesi ya uraia pacha kujulikana 31 Mei mwaka huu

  KESI ya kikatiba iliyofunguliwa na raia wa Tanzania waishio nje ya nchi (Diaspora), kupinga Sheria inayokataza uraia wa nchi mbili, maarufu kama...

Habari Mchanganyiko

Ulega atangaza mabadiliko mifugo na uvuvi, nyama ya Tanzania dili Uarabuni

WAZIRI wa Mifugo na uvuvi, Abdallah Ulega ameomba kuidhinishiwa jumla ya Sh. 296 bilioni kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka...

Kimataifa

Waziri Uganda auawa na mlinzi wake

  MWANAJESHI wa Jeshi la Uganda amempiga risasi na kumuua waziri katika Serikali ya Uganda ambaye alikuwa akimlinda. Kanali mstaafu Charles Okello Engola,...

Habari Mchanganyiko

WEMA: Kutenganisha taka ndio njia rahisi ya utunzaji mazingira

  IMEELEZWA kuwa kutenganisha takataka wakati wa kuzitupa ndio njia rahisi itakayosaidia kuhifadhi mazingira na kuleta manufaa kwa jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro...

Elimu

SUA kuboresha ufundishaji kupambania ajira za wahitimu

  CHUO kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) mkoani hapa kinajipanga kuboresha mbinu za ufundishaji kwa vitendo ili kuwafanya wahitimu kujiajiri na kuajiri...

Habari Mchanganyiko

GGML yaibuka kampuni kinara inayozingatia malengo ya SDGs

KAMPUNI ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) imeibuka mshindi wa jumla katika tuzo za kampuni za kibiashara zilizoonesha kwa vitendo...

Habari Mchanganyiko

Sheikh Ponda atia mguu sakata la mali za BAKWATA

  KATIBU wa Shura ya Maimamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanajipanga kuishauri Serikali namna bora ya kupata suluhu dhidi ya mali za...

Elimu

Wanakijiji waamua kujenga sekondari, wamuangukia Rais Samia

  WANANCHI wa Kijiji cha Wanyere, Wilaya ya Musoma Vijijini mkoani Mara, wamemua kuanza ujenzi wa shule ya sekondari kwa ajili ya kuwaondolea...

Elimu

Shule ya Wasichana – Dk. Samia yamwagiwa Sh. 50 milioni za vitanda

  SERIKALI ya imetoa Sh. 50 milioni kwa Halmashauri ya Mji Tunduma kwa ajili ya ununuzi wa vitanda katika shule mpya ya sekondari...

error: Content is protected !!