Friday , 29 March 2024
Home Kitengo Michezo Meridianbet yatambulisha promosheni ya Bonus ya Ukaribisho
Michezo

Meridianbet yatambulisha promosheni ya Bonus ya Ukaribisho

Spread the love

MERIDIANBET imetanbulisha promosheni mpya ya bonasi ya ukaribisho kutoka kasino ya mtandaoni ambayo inayompa mteja mpya anapata Sh 25,000 na mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino yamtandaoni Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Kila siku Meridianbet inakupa ofa kabambe, promosheni nabonasi nyingi kwenye moja ya michezo ya kasino ya mtandaonikama sloti ya Aviator, Roulette, poker na mingine mingiambayo inakupa buradani ya kutosha ukiwa mawindoni kusakautajiri.

Habari njema kwa wateja wapya wa Meridianbet kasino ya mtandaoni wale ambao ndio kwanza wamejisajili tu na kishakuweka salio, Meridianbet inawazawadia bonasi ya Tsh25,000/= kucheza sloti za kasino ya mtandaoni kama vile aviator, poker, roulette, spinning budha n.k

Bonasi ya ukaribisho uliyoipata itawekwa kwenye akaunti yako ambapo hutoweza kuitoa lakini itakuruhusu kucheza sloti za kasino ya mtandaoni na sloti hizo ni nyingi lakini rahisi kuchezana kushinda ni aviator, poker, roulette ingia mchezoni kitajiri zaidi.

Haijaishia hapo tu kuna bonasi nyingine ya mizunguko 50 yabure kucheza sloti/ michezo ya kasino ya mtandaoni ambao unaupenda kuipenda ambayo wanapewa wateja wotewanaojisajili na Meridianbet.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Makala & UchambuziMichezo

TFF kuamua hatima ya Amrouche

Spread the loveHATIMA ya Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche kuendelea...

Habari za SiasaMichezo

Matinyi: Dk. Ndumbaro alifanya utani ukaguzi mechi za Yanga, Simba

Spread the loveMsemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema kauli iliyotolewa na...

Michezo

Gethsemane Group Kinondoni (GGK) waachia video ya Bwana Wastahili

Spread the loveWAIMBAJI maarufu nchini kutoka Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA wameachia video...

BiasharaMichezo

Gamondi kocha bora mwezi Februari, NBC yamjaza manoti

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu...

error: Content is protected !!