Tuesday , 21 May 2024

Month: May 2023

Habari Mchanganyiko

NBC yakabidhi gawio la 20 bilioni kwa wanahisa wake

SERIKALI imepokea kiasi cha Sh. sita bilioni kutoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ikiwa ni sehemu ya gawio la kiasi cha Tsh...

Kimataifa

Kampuni za kigeni zahofia kuendelea na biashara China

OPERESHENI ya kiuchunguzi inayofanywa na Serikali ya China kwa kampuni za kigeni imeibua wasiwasi kwa kampuni hizo na kupelekea kufunga biashara zao nchini...

Habari Mchanganyiko

Kafulila awapa darasa wahariri kuhusu idara ya PPP

KAMISHNA wa Idara ya Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema msukumo wa kuunda taasisi hiyo ulitokana na kuwepo...

Habari Mchanganyiko

NMB yatumia mamilioni kupeleka viti, meza sekondari Mafia

BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa viti 100 na meza 100 vyenye thamani ya Sh15 milioni kwa matumizi ya wanafunzi wa Shule za...

Habari Mchanganyiko

Neema yafunguliwa kwa wafanyabiashara wa Tanzania-India

  NEEMA imefunguliwa kwa wafanyabiashara wa Tanzania na India, baada ya Kampuni ya Silent Ocean, kuzindua Huduma za usafirishaji mizigo katika mataifa hayo...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Vodacom wachangia damu na kutoa msaada hospitali ya Rufaa Dodoma

  WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Vodacom Tanzania mkoa wa Dodoma wamefanya zoezi la kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wagongwa wenye mahitaji ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

6 wadakwa tuhuma za mauaji ya daktari Tarime, mfanyakazi GGML

HATIMAYE Jeshi la Polisi nchini limewadaka watuhumiwa watatu wa mauaji ya Dk. Isack Daniel Athumani aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende...

Habari Mchanganyiko

Rostam aungana na wawekezaji kuleta mageuzi ya nishati Zanzibar, bilioni 330 kutumika

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Rostam Azizi kupitia Kampuni yake ya Taifa Group, ameungana na kampuni ya Generation Capital Limited (GCL) kutoka Mauritius kuanzisha mradi...

Habari Mchanganyiko

FEMATA walilia benki ya wachimbaji wadogo

  SHIRIKISHO la vyama vya wachimbaji wa Madini Tanzania (FEMATA) limetoa wito kwa Serikali kuunga mkono wazo la kuanzishwa kwa benki ya wachimbaji...

Habari Mchanganyiko

Mgomo Kariakoo ngoma nzito, wafanyabiashara wamtaka Rais Samia

  MGOGORO wa kodi katika Soko la Kimataifa la Kariakoo umechukua sura mpya baada ya baadhi ya wafanyabiashara kutishia kuendelea kufunga maduka yao...

Habari Mchanganyiko

Mgomo Kariakoo: Wafanyabiashara wa kigeni waiangukia Serikali

  WAKATI mgomo wa kufungua Biashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ukishika Kasi, baadhi ya wafanyabiashara kutoka nchi jirani wameomba...

Habari Mchanganyiko

NMB yajidhatiti kuendelea kuchangia ukuaji matumizi ya bima

BENKI ya NMB imesisitiza kuendelea kutoa huduma za bima zinazoendana na matakwa ya wateja ikiwa ni utekelezaji wa dhamira yake ya kuongeza matumizi...

Habari Mchanganyiko

Wateja wa Vodacom wafanya miamala ya tril 6, yapata faida bil. 44.6

KAMPUNI pekee ya mawasiliano ya simu iliyoorodheshwa kwenye soko la hisa la Dar es Salaam, Vodacom Tanzania Plc, imetangaza taarifa ya ripoti ya...

Habari Mchanganyiko

RC Mongela awataka wafanyabiashara kuunga mkono kampeni ya GGML Kili Challenge

KATIKA kuendeleza mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi/ Ukimwi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela ametoa wito kwa wafanyabiashara wa mkoa huo...

Habari Mchanganyiko

Madaktari bingwa wa moyo JKCI watia fora Malawi

MADAKTARI bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamefanikiwa kuwapatia matibabu ya kibingwa wagonjwa zaidi ya 724 wa moyo nchini Malawi...

Michezo

Yanga SC. yatwaa ubingwa wa pili mfululizo

  KLABU ya Yanga SC imeweka rekodi ya kutwaa ubingwa wa 29 Ligi Kuu Tanzania bara  msimu wa 2022/23 baada ya kupata ushindi...

Habari za Siasa

Samia ashuhudia utiaji saini ujenzi wa minara 758 ya bilioni 265

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa kampuni za simu kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowezesha kila Mtanzania kupata huduma ya mawasiliano...

Michezo

Meridianbet yagawa ‘reflector’ kwa bodaboda Mbagala

  KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea kuiunga mkono jamii yake inayowazunguka baada ya leo kufika katika mtaa wa Mbagala na kugawa vifaa kwa vijana...

Habari Mchanganyiko

Fisi aliyeua na kujeruhi watu mkoani Lindi auawa na askari wa TAWA

  MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumuua fisi aliyeua watu wawili na kujeruhi watano katika Wilaya ya Lindi Vijijini Mkoani...

Habari Mchanganyiko

Wafugaji wanaotorosha mifugo nje ya nchi waonywa

  WAFUGAJI wanaotorosha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu uliowekwa na Serikali wametakiwa kuacha vitendo hivyo kwani hatua za kisheria...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo aibana Halmashauri ya Musoma

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, kutumia mapato yake ya ndani kukamilisha miradi...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua mwenyekiti, wajumbe bodi ya ushauri wa mapato ya mafuta na gesi

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amemteua Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Daktari: Membe hajapewa sumu

  DAKTARI wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini Bernard Membe, ameondoa utata kuhusu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe na...

Kimataifa

Maofisa 110,000 wakalia koti kavu kwa ufisadi China

  CHAMA tawala cha China (CCP), kimewaadhibu zaidi ya maofisa 110,000, katika mapambano ya ufisadi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu...

Habari za Siasa

Wanakijiji Kinyang’erere waepukana na adha ya usafiri

  WANAKIJIJI zaidi ya 4,000 wa Kinyang’erere, Musoma Vijijini mkoani Mara, wameepukana na adha ya usafiri baada ya Serikali kujenga barabara inayowaunganisha katika...

Habari za Siasa

Membe kuzikwa Jumanne ijayo

  JAJI Mustapha Ismail Kambona, msemaji wa familia ya marehemu Bernard Kamilius Membe, aliyeaga dunia mapema leo asubuhi, ametangaza kuwa mazishi ya mwanasiasa...

Habari za Siasa

Tanzania, Uingereza zadhamiria kuimarisha biashara na uwekezaji

TANZANIA imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Balile, Kalinaki waula jumuiya ya wahariri EAC

JUMUIYA ya Wahariri Afrika Mashariki imemchagua Daniel Kalinaki wa Jukwaa la Wahariri Uganda kuwa Rais wa Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki kuanzia Mei...

Habari za Siasa

Pigo jingine: Bernard Membe afariki dunia

  ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, katika utawala wa Rais Jakaya Kikwete, Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia, asubuhi...

Habari za Siasa

Rais Samia amlilia Membe

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemlilia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, aliyefariki Dunia ghafla jijini Dar es Salaam. Anaripoti...

Habari za Siasa

Balozi Shelukindo ateta na mabalozi China, Italia, Denmark…

KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China,...

Habari za Siasa

BAWACHA waandamana, polisi wawapa ulinzi mzito

  HATIMAYE Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) leo Alhamisi wamekusanyika kwenye viwanja vya posta ya zamani jijini Dar es salaam na kuandamana...

Michezo

Cheza kasino ya Meridianbet ushinde

  UNAHITAJI urahisi wa odds kubwa, michezo mingi ya kasino ya mtandaoni, kuhusu machaguo mengi, ofa na promosheni na bonasi juu, ichague Meridianbet...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango aagiza mawakili wala rushwa ‘vigeugeu’ washughulikiwe

  MAKAMU wa Rais wa Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali...

Michezo

Majaliwa aipongeza Yanga, aitaka Simba ijifunze

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kuichabanga timu ya Marumo Galants kutoka nchini Afrika Kusini jumla ya bao 2-0...

Habari Mchanganyiko

Mradi wa 630 milioni kufaidisha wakazi 12,500

  ZAIDI ya wakazi 12,500 wa vijiji vya Milola na Mavimba Wilayani Ulanga mkoani Morogoro wanatarajia kunuafaika na mradi wa maji wenye thamani...

Habari Mchanganyiko

Wabunge watembelea pori la akiba Kilombero, waahidi ushirikiano kulinda mazingira

  MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema pori la Akiba Kilombero ni chachu ya kufungua fursa za utalii ikiwemo shughuli za...

Habari Mchanganyiko

GGML Kili Challenge-2023 kukusanya bilioni 2 kudhibiti VVU/UKIMWI

KAMPENI ya GGML Kili Challenge inayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)...

Habari Mchanganyiko

Tanzania, Uganda zakubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara

TANZANIA na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo vya biashara ili kuendelea kuboresha ushirikiano kati ya mataifa hayo kwenye nyanja mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Makubaliano...

Michezo

Yanga yaizaba Marumo, yaweka mguu mmoja fainali CAFCC

WAWAKILISHI pekee katika Kombe la Shirikisho barani Afrika, Klabu ya Yanga SC imejiweka nafasi nzuri ya kutinga Fainali ya Michuano hiyo baada ya...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atembelea Banda la NMB, atoa maagizo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zote za wilaya na miji, kwenye maeneo yenye madini ziandae sheria ndogo (by-laws) kwa kushirikiana na wadau...

Habari Mchanganyiko

Polisi wamuaga rasmi IGP Mstaafu, Balozi Simon Sirro

JESHI la Polisi Tanzania, limemuaga rasmi IGP Mstaafu, Balozi Simon Sirro leo tarehe 10 Mei  2023 baada ya kustaafu Utumishi ndani ya Jeshi...

Habari za Siasa

Lissu ashuhudia gari lake polisi, akanusha uvumi wa kuzuiwa kuliona, ataka waliompiga risasi watafutwe

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameliomba jeshi la polisi nchini kuendelea kumsaka aliyehusika na shambulio dhidi...

Michezo

Meridianbet yamtambulisha mshindi wa milioni 60

  MANENO kidogo pesa nyingi kauli hii inathibitishwa na moja ya mteja wa Meridianbet (Jina lake limehifadhiwa) alicheza Sloti ya Aviator na kupiga...

Habari za Siasa

Waitara alia tena, wabunge wamcheka… atoka bungeni

  MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) leo Jumanne ameangua tena kilio bungeni na kutoka nje ya ukumbi wa mhimili huo kwa...

Habari Mchanganyiko

NMB, ZIPA zasaini makubaliano kukuza uwekezaji Zanzibar

KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kuharakisha maendeleo ya kiuchumi, Benki ya NMB na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji...

Kimataifa

Mahakama yaagiza akaunti 15 za mchungaji mwenye utata Ezekiel Odero kuzuiliwa

  AKAUNTI 15 zinazomilikiwa na Mchungaji mtata, Ezekiel Odero, zimeamriwa na Mahakama nchini Kenya kuzuiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zinasema, amri...

Habari Mchanganyiko

Maji yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini

  WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), umeendelea kusambaza maji katika vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara. Anaripoti...

Michezo

Meridianbet yamjengea heshima Awesu kitaani kwake

  KAMPUNI ya Meridianbet katika kuhakikisha inarudisha fadhira kwa kwa jamii, iliandaa shindano la mikwaju ya penati ambapo kila itakayozaa goli inalipwa Sh....

Habari za Siasa

Mabadiliko sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa kutua bungeni mwaka huu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Jenister Mhagama amesema kabla ya mwaka huu 2023 kumalizika, Serikali itakuwa imepeleka...

error: Content is protected !!