Friday , 29 September 2023
Home Kitengo Michezo Meridianbet yamtambulisha mshindi wa milioni 60
Michezo

Meridianbet yamtambulisha mshindi wa milioni 60

Spread the love

 

MANENO kidogo pesa nyingi kauli hii inathibitishwa na moja ya mteja wa Meridianbet (Jina lake limehifadhiwa) alicheza Sloti ya Aviator na kupiga Tsh 60,000,000/=, huyu jamaa yeye hucheza kasino ya mtandaoni lakini alivyojua kuhusu mchezo huu alianza kucheza mara kwa mara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Huenda ukawa unajiuliza mwamba alipigaje mkwanja huu mrefu, ila ni rahisi sana alichokifanya ni kuweka dau lake dogo tu kisha akabonyeza kitufe cha kurusha ndege ya Aviator, alisubiri mpaka ndege ya Aviator ilipofika kwenye odds ya 200 aka-Cash Out. Aliendelea kufanya hivi mara tatu mfululizo ambapo kila raundi alikuwa akishinda Tsh 20,000,000/=

Kasino ya mtandaoni Meridianbet ina michezo mingi ambayo yote inakupa nafasi ya kushinda pesa na kuwa Milionea ukiachana na sloti ya Aviator kuna Poker/Karata, Roulette, Blackjack, Titan Dice na mingine mingi inakupa nafasi kuwa Tajiri bila mateso.

Kitu kingine kikubwa kutoka Meridianbet wanakupa ofa ya mizunguko 50 ya bure kwa mteja atakayejisajili na Meridianbet, mizunguko hii itakuwezesha kucheza sloti uzitakazo za kasino ya mtandaoni, Cheza hapa.

NB: Bado hela zinaendelea kutoka kwenye Jakipoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Meridianbet yaibukia Tandika, yafungua duka jipya

Spread the love BAADA ya kupita maeneo mbalimbali hatimae kampuni yaMeridianbet imeibukia...

BiasharaMichezo

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kuwa milionea

Spread the love  CARABAO Cup raundi ya 3 Uingereza inaendelea na mechi...

Michezo

Jezi ya Samatta iliyoifunga Liverpool kuuzwa Genk

Spread the love  KLABU ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji imeamua kuanza...

BiasharaMichezo

Hii ndio historia ya El-Clasico, derby bora zaidi duniani

Spread the love  KILA nchi ina vilabu viwili hasimu na pinzani nje...

error: Content is protected !!