Friday , 19 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia ateua mwenyekiti, wajumbe bodi ya ushauri wa mapato ya mafuta na gesi
Habari za Siasa

Rais Samia ateua mwenyekiti, wajumbe bodi ya ushauri wa mapato ya mafuta na gesi

Spread the love

 

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa
amemteua Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri
na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Pia Rais Samia amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi hiyo, Dkt. Suleiman Magema Missango – Meneja Msaidizi Kurugenzi ya Utafiti na Sera, Benki Kuu ya Tanzania (BoT); Safiel Fahamuel Msovu – Afisa Fedha Mwandamizi, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC);

Wengine ni Shogholo Charles Msangi – Mkurugenzi wa Kampuni ya Express Microfinance Company Ltd; na Mwanaidi Athuman Mtanda- alikuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu , Zuhura Yunus, uteuzi huo umeanza tarelhe 11 Mei 2023.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania, Uturuki zanuia kukuza biashara, uwekezaji

Spread the loveSERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza ajira watendaji daftari wapiga kura

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatangaza ruti awamu ya pili maandamano

Spread the love  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema awamu ya...

Habari za Siasa

CCM yamkana mwenyekiti UVCCM aliyetaka wapinzani wapotezwe

Spread the love  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimejitenga na kauli ya mwenyekiti...

error: Content is protected !!