KAMPUNI ya Meridianbet katika kuhakikisha inarudisha fadhira kwa kwa jamii, iliandaa shindano la mikwaju ya penati ambapo kila itakayozaa goli inalipwa Sh. 100,000 na kwa kuanzia shindano hilo walianza na nyota wa KMC FC, Awesu Awesu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Awesu katika shindano hilo alipata mikwaju yote mitano na kuondoka na kitita cha cha Sh. 500,000 ambayo pesa hiyo aliirudisha mtaani kwake Magomeni. Una bahati ya kushinda ukibashiri Meridianbet odds kubwa na kasino ya mtandaoni.
Mchezaji Awesu Awesu aliambatana na Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni walifika mtaani kwao, Magomeni alipokulia na kukuzwa waliweza kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa watu wasiojiweza kama mafuta ya kupikia, sukari, mchele, sabuni, pamoja na vifaa vya kufanyia usafi.
Akiongea na wanahabari Awesu Awesu alisema; “kwanza ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa leo, Lakini kubwa zaidi nawashukuru wadhamini wa timu ninayoitumikia kwani imekuwa faraja kuifikia siku hii na kuweza kutoa msaada kwa jamii yangu iliyonikuza na kunilea nawashukuru sana Meridianbet kwa namna wanavyohakikisha wanarudisha kwa jamii hata kile kidogo wanachopata.”
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Meridianbet, Matina Nkurlu alisema; “Hiki kilichofanywa na Awesu ni uungwana kwa maana ya tafsiri ya uungwana ni pamoja na kujali njia ulizopita na kuzipa faraja.”
“Leo Meridianbet tukishirikiana na Awesu Awesu kuzipa faraja familia na wakazi wa Magomeni alipoishi Awesu hadi kufikia ndoto zake, Na kesho huenda akawa mtu mwingine mkubwa akafikia jamii yake kupitia sisi, Hivo basi tunaahidi huu utakua mwendelezo kutoka Meridianbet kwa kshirikiana na klabu ya KMC FC kurudisha kwenye jamii,” alisema Nkurlu
Lakini pia waliopokea msaada hawakua nyuma katika kushukuru kile kilichofanywa na Awesu Awesu kwa kushirikiana na Meridianbet na kusema wamefurahishwa na kilichofanywa na kijana wao kuwakumbuka na kuwapa msaada, vilevile wakitoa shukrani kwa Meridianbet na kusema wao ni mfano wa kuigwa kwani wamekua wakirudisha kwenye jamii kila inapowezekana.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
Leave a comment