Friday , 9 June 2023
Home Kitengo Michezo Yanga SC. yatwaa ubingwa wa pili mfululizo
Michezo

Yanga SC. yatwaa ubingwa wa pili mfululizo

Spread the love

 

KLABU ya Yanga SC imeweka rekodi ya kutwaa ubingwa wa 29 Ligi Kuu Tanzania bara  msimu wa 2022/23 baada ya kupata ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Dodoma jiji kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa  Azam Complex  jijini la Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea),

Mabao ya Yanga yamefungwa na Kennedy Musonda dakika ya 39, Mudathir Yahya akifunga bao mawili dakika ya 70, 90 na Farid Mussa dakika ya 88.

Mabao ya Dodoma jiji yamefungwa na Collins Opare dakika ya 59 na Seif Karihe dakika ya 67.

Ushindi huo unaifanya Yanga SC kutetea tena ubingwa wa Ligi msimu huu ikiwa imefikisha pointi 74 ambazo hazitaweza kufikiwa na timu yoyote  huku ikiwa imebakiwa na michezo miwili dhidi  ya Mbeya City na Tanzania Prisons ambayo itachezwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

HabariMichezo

Benki ya NBC yazindua kombe jipya la Ligi Kuu Tanzania Bara

Spread the loveMDHAMINI Mkuu wa Ligi ya NBC , Benki ya Taifa...

MichezoTangulizi

Yanga malizeni ugomvi na Fei Toto – Rais Samia

Spread the love  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia...

Michezo

Samia aipongeza klabu ya Yanga kwa hatua iliyofikia

Spread the love RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia...

Michezo

Yanga waitwa Ikulu kesho Jumatatu

Spread the love RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumatatu, tarehe...

error: Content is protected !!