Friday , 9 June 2023
Home Kitengo Michezo Meridianbet yagawa ‘reflector’ kwa bodaboda Mbagala
Michezo

Meridianbet yagawa ‘reflector’ kwa bodaboda Mbagala

Spread the love

 

KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea kuiunga mkono jamii yake inayowazunguka baada ya leo kufika katika mtaa wa Mbagala na kugawa vifaa kwa vijana wanaofanya usafiri wa bodaboda na kugawa Reflectors kwajili ya shughuli zao za kila siku. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Msafara huo wa kwenda kutoa reflectors ulikuwa umejumuisha Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet, Matina Nkurlu, pamoja na wafanyakazi wenzake ambao moja kwa moja walifika mpaka kituo cha boda boda pale Mbagala na kuanza zoezi zima la kutoa reflectors hizo.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali wateja wao ambao wanajua asilimia kubwa hutumia kampuni hii kufanya ubashiri kwani ndiyo kampuni mabyo inakupa kile ambacho unakitaka kama kaulimbiu yao isemavyo Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

Uhitaji wa reflectors katika eneo hilo ulionekana mkubwa kutokana na wingi wa watu na wengine kunyang’anyana zile ambazo zilikuwepo lakini bado hazikutosha. Hivyo Matina Nkurlu amewaahidi bodaboda wa hapo kuwa watarudi tena eneo hilo kwaajili ya kutoa reflectors kwa wale ambao wamekosa.

Endelea kutumia Meridianbet kubashiri mechi kali wikendi hii kama vile EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga na zingine nyingi ambazo zinatarajiwa kupigwa leo hii lakini pia, usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Avaitor, Sloti, Poker, Roulette na mingine ambayo itakuwa rahisi kwako kupiga mkwanja.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

Baada ya kupokea reflector hizo bodaboda wa eneo hilo waliishukuru Meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea vifaa hivyo kwani vitawasaidia wakiwa katika safari zao za kila siku na wamewapongeza kwa kutambua umuhimu wao kwenye jamii.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

HabariMichezo

Benki ya NBC yazindua kombe jipya la Ligi Kuu Tanzania Bara

Spread the loveMDHAMINI Mkuu wa Ligi ya NBC , Benki ya Taifa...

MichezoTangulizi

Yanga malizeni ugomvi na Fei Toto – Rais Samia

Spread the love  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia...

Michezo

Samia aipongeza klabu ya Yanga kwa hatua iliyofikia

Spread the love RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia...

Michezo

Yanga waitwa Ikulu kesho Jumatatu

Spread the love RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumatatu, tarehe...

error: Content is protected !!