Wednesday , 24 April 2024
Home Kitengo Michezo Meridianbet yazindua wa duka jipya Buguruni Malapa
Michezo

Meridianbet yazindua wa duka jipya Buguruni Malapa

Spread the love

 

KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea kuwasogelea wateja wake baada ya kufanya uzinduzi wa maduka ya kubetia katika maeneo mbalimbali na safari hii wamezindua duka jipya maeneo ya Buguruni Malapa  litawasaidia wakazi wa hapo wanaohitaji kufanya ubashiri kwa urahisi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Hiyo imekuwa sasa ni kama Desturi kwa Kampuni hii ambayo inaongoza kwa kuwa na ODDS KUBWA hapa Tanzania kuzindua maduka na kuonyesha kuwa wanawajali sana wateja wao ambao hupenda kubashiri kwa kutumia Meridianbet. Lakini vilevile inatoa machaguo zaidi ya 1000 kwa kila mechi ambayo unataka kubashiri iwe Ligi, FA, UEFA na mingine mingi bila kusahau michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Sloti, Aviator, Roulette Poker na mingine.

Afisa Masoko na Mawasiliano Meridianbet, Matina Nkurlu amesema; “Huu ni mwendelezo wa kuongeza maduka ya kubashiri na kuzidi kuongeza huduma zetu ili kuzidi kuwafikia zaidi wateja wetu. Wafanyabiashara na wajasiriamali wote wa Buguruni Malapa wanakaribishwa sana na wote waliokuwa karibu na Buguruni Malapa.”

Nkurlu amesema kama unataka odds kubwa, unaweza kutembelea duka lao jipya ya Buguruni Malapa ambapo utakutana na kile ambacho unachokitaka ndania Meridianbet ambao wanakupa kile ambacho mteja wao anakitarajia, pia anaweza ukaturbo mkeka wako ili kuokoa pesa yako au unataka pesa ya haraka.

Amesema pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku ambapo kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni, akiingia mchezoni na Meridianbet.

Nkurlu amesema mteja wao anachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kauli mbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Wakazi wa eneo hilo wamefurahishwa sana na ujio wa Meridianbet na wameshukuru sana kwa kuwafungulia Duka jipya la kubashiria katika eneo hilo na watajiunga na Meridianbet kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi zaidi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Arsenal dhidi ya Chelsea ngoma nzito leo EPL

Spread the love  Leo kutakua na mchezo mkali sana pale kwenye ligi...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC yanogesha Derby Kariakoo, Aziz Ki aibuka mchezaji bora Machi

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu...

Michezo

Ujanja ni kubeti na Meridianbet

Spread the love  JUMAPILI ya leo imekaa kihela hela sana ndani ya...

Michezo

Anza Jumamosi yako na mkwanja wa Meridianbet

Spread the loveJumamosi ya leo ODDS zimekaa kijanja sana ndani ya Meridianbet...

error: Content is protected !!