Saturday , 27 April 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet wagawa miamvuli kwa wafanyabiashara wa Mbagala rangi 3
Biashara

Meridianbet wagawa miamvuli kwa wafanyabiashara wa Mbagala rangi 3

Spread the love

MERIDIANBET wameendelea kurejesha kwenye jamii kama ilivyo kawaida yao huku leo hii siku ya Jumamosi wamerudi tena Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa miamvuli kwa wafanyabiashara wadogowadogo ambayo itawasaidia kwenye kazi zao za kila siku.

Meridianbeti magwiji wa ODDS KUBWA Tanzania hii ni mara ya pili wanagawa miamvuli hiyo kutokana na uhitaji mkubwa wa wafanyabiashara wa eneo hilo na uwingi wa watu pia umefanya warejee eneo hilo.

Jijini Dar es salaam bado mvua za hapa na pale zinapiga kwahiyo kutokana na hilo Meridianbet wameona kuna haja ya kutoa miamvuli hiyo kwa wafanyabiashara hao kwaajili ya kujikinga na mvua.

Miamvuli hiyo pia itawasaidia kuwakinga na jua endapo kutakuwa na jua kali hasa mida ya mchana kwani jiji hili lina joto kali sana hivyo kuwepo kwa jua hakukwepeki kwa namna moja au nyingine.

Pia kumbuka kubashiri na meridianbet mechi za leo kuanzia pale BUNDESLIGA, LALIGA, SERIE A, na nyingine nyingi utusue mpunga wa maana umalize wikendi yako vizuri kabisa. Ingia meridianbet ubashiri.

Zoezi hilo lilianza mapema kabisa ambapo timu ya meridianbet ilifika eneo husika na kuanza kutoa miamvuli hiyo huku kila mfanyabiashara wa eneo hilo akitaka kupata mwamvuli wake peke yake.

Wakati wa kutoa miamvuli hiyo, muongozaji wa msafara ambaye ni Mhariri wa meridianbet Bi Nancy alisema kuwa lengo la kurudi Mbagala Rangi 3 ni kutokana na uhitaji kuwa mkubwa zaidi kulingana na maeneo mengine hivyo ilikuwa muhimu kwa wao kurejea tena.

Na baada ya kupokea miamvuli hiyo wafanyabiashara wa eneo hilo walifurahi sana meridianbet kufika eneo hilo na kuahidi kwamba watatumia meridianbet kufanya ubashiri kujipatia pesa kila siku kwani wamesikia mazuri sana kwenye kampuni hii nje na ndani.

Meridianbet wamesema hili ni zoezi endelevu na watapita maeneo yote ya jiji la Dar es salaam kutoa kile ambacho watajaaliwa kwaajili ya watu wenye uhitaji mkubwa.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator,Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Orb of Destiny kutoka Meridianbet kasino ushindi kwa njia 14  

Spread the love  ORB of Destiny ni mchezo wa sloti kutoka kwa...

Biashara

Jiandalie Strawberry Cocktail yako nyumbani huku unacheza kasino 

Spread the love  UTAANDAA matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe...

Biashara

420 Blaze It chimbo jipya la kuchota mihela Meridianbet kasino 

Spread the love  JE, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10?...

Biashara

Exim yawainua kiuchumi wanawake wajasiriamali kupitia mpango wa WEP

Spread the love  BENKI ya Exim kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi...

error: Content is protected !!