Friday , 17 May 2024

Month: January 2024

Michezo

Chelsea sasa wameanza kujipata

KLABU ya Chelsea chini ya kocha Mauricio Pochettinowanaonekana kama wameanza kujipata kutokana namatokeo yao ambayo wameanza kuyapata katika michezoyao ya hivi karibuni. Msimu...

Habari za Siasa

Maaskofu Katoliki wataja sababu kuwa mbogo marekebisho sheria za uchaguzi

BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limesema kwa mara ya kwanza limeamua kutoka mstari wa mbele kutoa mapendekezo yake juu ya uboreshaji sheria...

Habari za Siasa

DP World mbioni kuanza kazi Bandari ya Dar es Salaam

KAMPUNI ya Dubai Port  World kutoka Imarati ya Dubai, inatarajiwa kuanza uendeshaji wa maeneo waliyokodishwa katika Bandari ya Dar es Salaam, kwenye robo...

Habari Mchanganyiko

Kapinga: TGDC onesheni matokeo chanya kwa kuzalisha umeme

KAMPUNI ya Uendelezaji wa Joto Ardhi Tanzania (TGDC) imetakiwa kuonesha matokeo chanya kwa kuzalisha umeme kwa kutumia rasilimali ya Jotoardhi ili kuunga mkono...

Habari Mchanganyiko

Mkandarasi afurahia kufanya kazi Zanzibar

  MKANDARASI wa CCECC kutoka China amesema wanafurahia kufanya kazi na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na kuridhishwa na namna walivyopokewa na wananchi...

Habari za Siasa

Rais Samia awataka wakulima wa karafuu kuacha biashara za magendo

WAKULIMA wa karafuu visiwani Zanzibar, wametakiwa kuacha kuuza kwa magendo zao hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

Biashara

Mchezo huu unakulipa kwa njia 81, Vegas Magic kasino

  NASIKIA kuna watu wamepagawa sana na mchezo wa AVIATOR yani huwaambii kitu, lakini kuna michezo mingi sana ya kupiga hela kirahisi kama...

Habari Mchanganyiko

Mafuriko yatikisa Kongwa, DC afunguka

MAFURIKO ya maji  mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo ya wilayani Kiteto mkoani Manyara, yamesababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara ya Morogoro-Dodoma, baada ya...

Habari Mchanganyiko

Askofu na mshauri wa Papa Francis ataka mapadre waruhusiwe kuoa

Afisa mkuu wa Vatican ambaye pia ni mshauri wa Papa Francis, Askofu Mkuu Charles Scicluna amesema ipo haja ya Kanisa Katoliki kutathmini upya...

Habari Mchanganyiko

Hospitali ya Kairuki yaleta neema wanawake wasiopata watoto

JITIHADA zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kuigeuza Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba zinaendelea kupata mafanikio makubwa baada ya ya Hospitali ya...

Biashara

Cheza leo sloti ya Mafia Clash kasino uone maajabu ya ushindi rahisi

  HATIMAYE wale wapenzi wa kucheza magemu huu utawafaa, ni mchezo mzuri sana wa kasino ya mtandaoni una mandahari mazuri na wakati unaucheza...

Habari za Siasa

Akina Dk. Slaa wataka uchaguzi serikali mitaa usogezwe mbele kupata katiba mpya

TAASISI ya Sauti ya Watanzania imeshauri uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwaka huu, usogezwe mbele hadi uchaguzi mkuu wa 2025, ili...

Afya

Kenya yaiomba Tz msaada dawa za TB

Waziri wa Afya nchini Kenya, Wafula Nakhumicha amesema Serikali ya Kenya imeomba msaada kutoka Tanzania ili kukabiliana na uhaba wa dawa za Kifua...

Michezo

Kwapua mapene Jumapili hii na Meridianbet

MTEJA wa meridianbet kama ilivyo ada kutusua mkwanja ni jambo la lazima sana kama utachagua sehemu sahihi ya kuwekeza mkwanja wako wa meridianbet...

Habari za Siasa

Marekebisho sheria za uchaguzi: Chadema, ACT-Wazalendo watinga bungeni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), pamoja na Chama Cha ACT-Wazalendo, vimewasilisha maoni na mapendekezo Yao kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

ElimuTangulizi

Haya hapa matokeo ya mtihani kidato pili, darasa la nne

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), leo tarehe 7 Januari 2024, limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha pili na darasa la nne wa...

Habari za Siasa

Mchinjita ajitosa kuwania makamu mwenyekiti ACT Wazalendo

MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Lindi, Isihaka Mchinjita amesema anatarajia kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho upande wa...

Habari Mchanganyiko

Shamba la miti lawaondoa katika umaskini wanufaika wa TASAF kijiji cha Idumila

  WANUFAIKA wa Kikundi cha Asante kilichopo Kijiji cha Idumila, katika Halmashauri ya Njombe DC, mkoani Njombe, wameeleza namna Mfuko wa Maendeleo ya...

Habari Mchanganyiko

Oryx Gas Tanzania yagawa mitungi 700 Iramba – Singida

KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Mbunge wa Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha, Dk.Mwigulu Nchemba wamegawa mitungi ya...

Habari za SiasaTangulizi

CCM wapanga kumuongezea muda Rais Mwinyi kukaa madarakani

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinakusudia kupeleka hoja ya mabadiliko ya 13 ya Katiba ya Zanzibar ili kuwezesha kuongezewa muda wa muhula wa uongozi...

Michezo

Piga mkwanja na michezo ya FA leo kupia Meridianbet

JUMAMOSI ya leo michuano ya kombe la FA itaendeleakupigwa nchini Uingereza na michezo mbalimbali itapigwakatika viwanja mbalimbali na kutoa fursa kwa wateja waMeridianbet kuweza...

Kimataifa

Kesi mauaji ya wanaharakati wapinga ubaguzi yafufuliwa

Wizara ya sheria ya Afrika Kusini inatarajia kufungua tena jalada la uchunguzi wa mauaji ya wanaharakati wanne wapinga ubaguzi moja tukio baya ambalo...

Habari za Siasa

Wakongwe viti maalumu watakiwa kwenda majimboni

JUKWAA la Wanawake Viongozi wa Jumuiya za Vyama vya Siasa nchini (ULINGO), limeshauri wanawake waliopata nafasi ya viti maalum zaidi ya mara moja,...

Habari za Siasa

Dk. Semesi ateuliwa kuwa mkurugenzi mpya NEMC

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. Immaculate Sware Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa...

Michezo

Mkwanja wa maana unatolewa na Meridianbet sasa

MECHI za FA Cup nchini Uingereza kupitia meridianbet zimekupanga kukuacha ukiwa unajibweda na maokoto ya maana ukibashiri nao wakati huu kwani huku wamekuwekea...

Habari Mchanganyiko

Kaya 500 zajiandikisha kuhama kwa hiari Ngorongoro

AWAMU ya pili ya zoezi la uhamaji kwa hiari kwa wananchi wanaoishi ndani ya eneo la hifadhi ya Ngorongoro jijini Arusha, imeanza rasmi...

AfyaKimataifa

Kipindupindu chasababisha shule kutofunguliwa Zambia

Serikali ya Zambia imetangaza kuahirisha kuanza kwa muhula mpya ya masomo kwa wiki tatu zaidi kutokana mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaua...

Habari za Siasa

Lugangira: Matumizi ya mitandao katika uchaguzi yaingie kwenye sheria

MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira (CCM) ameshauri mswada wa sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi uwe na ibara inayozungumzia masuala ya matumizi...

Kimataifa

Sudan yamrejesha nyumbani balozi wake nchini Kenya

Sudan imemrejesha nyumbani balozi wake nchini Kenya kufuatia ziara na kikao kati ya Rais wa Kenya, William Ruto na Kamanda wa kikosi cha...

Biashara

Wateja 100 wazoa mil. 10 ‘NMB MastaBata Halipoi’

KAMPENI ya Weka, Tumia ana Ushinde inayoendeshwa na benki ya NMB ikilenga kuhamasisha matumizi yasiyo ya pesa taslimu, imezidi kuchanja mbuga, baada ya...

AfyaTangulizi

Serikali yasitisha bei mpya kitita cha NHIF

Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambazo zilipangwa kutekelezwa kuanzia...

Michezo

La Liga kuendelea leo na mkwanja kuendelea kutolewa

LIGI Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga kuendelea namichezo kadha itapigwa katika viwanja tofauti, Huku Meridianbet wao wakiendelea kuhakikisha wewe mteja waounaupiga...

Biashara

Cheza kasino Meridianbet ushinde x 10,000 ya dau lako

  HII ni kwa wapenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni, mambo mazuri yamekuja kwaajili yao pale Meridianbet kuna mchezo wa sloti ambao...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aipongeza NMB kuchangia maendeleo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea kuunga mkono ajenda ya...

Michezo

Anza mwaka kibabe na maokoto ya Meridianbet

  MWAKA unaweza kuanza kibabe kabisa kwa upande wako kama utaweza kucheza kitaalamu na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ambayo...

Habari MchanganyikoTangulizi

TMA yatoa tathmini ya hali ya joto nchini

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya tathmini ya hali ya joto na mwenendo wake katika maeneo mbalimbali nchini....

Biashara

Bonasi baab kubwa ukicheza kasino ya Chinese Tiger

    MERIDIANBET inakuletea mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa kwa mandhari ya Kichina, kama jina la sloti hii. Tiger wanajitokeza kama mandhari...

Habari za Siasa

Mbunge agawa mitungi 107 kwa makada wa CCM Ileje

Mbunge wa Ileje ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amekabidhi mitungi 107 kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM...

ElimuHabari za Siasa

NBC yaunga mkono ufaulu somo la hesabu Ubungo

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kuunga mkono jitihada za serikali katika kuboresha sekta ya elimu nchini, kwa kufadhili mpango wa kuchochea...

Biashara

Hii hapa michezo 5 ya kasino inayobamba Mwaka 2024

NI mwaka mpya umefika ukiwa na mambo mapya, hiviumeukaribisha mwaka mpya 2024 ukiwa kiwanja gani? Ikohivi hapa mjini na popote ulipo kuna sehemu...

Habari Mchanganyiko

Wananchi Rufiji wamwita Samia, wamtupia lawama Mchengerwa

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameombwa afike wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani, kwa ajili ya kuwasilikiliza wananchi wenye changamoto sugu zinazodaiwa kutofanyiwa kazi...

Habari za Siasa

Ado amuangukia Samia uwakili wa Fatma Karume, amtaja Magufuli

KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amemuomba Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, aingilie kati ili Fatma Karume arejeshewe leseni yake ya...

Habari za Siasa

Rais Samia ampongeza Tshisekedi kuchaguliwa tena DRC

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amempongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), kwa kuchaguliwa tena kuliongoza taifa hilo...

error: Content is protected !!