Wednesday , 21 February 2024
Home Kitengo Michezo Mkwanja wa maana unatolewa na Meridianbet sasa
Michezo

Mkwanja wa maana unatolewa na Meridianbet sasa

Spread the love

MECHI za FA Cup nchini Uingereza kupitia meridianbet zimekupanga kukuacha ukiwa unajibweda na maokoto ya maana ukibashiri nao wakati huu kwani huku wamekuwekea kila ambacho unakihitaji kwa wakati huu. Huku kuna Turbo Cash, machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi.

Uhondo utaanza saa 4:15 usiku ambapo wenyeji Brentfordwatakuwa wenyeji wa Wolvehampton Wonderers ambapo timu hizi zimeshakutana tayari msimu huu kwenye ligi na Mbwa mwitu alishinda. Thomas Frank na vijana wake kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.50 kwa 2.74. Beti sasa mechi hii.

Vilevile Tottenham Spurs watakuwa kibaruani dhidi ya vijana wa Vincent Kompany Burnley ambao bado hawana mwenendo mzuri kwenye ligi. Nafasi ya kushinda mchezo huu amepewa Spurs ya Ange wakiwa na ODDS 1.40 kwa 6.07. Nani kuondoka na pointi 3 leo? Ingia mchezoni na ubashiri kishua hapa.

Pia Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Poker, Roullette na mingine kibao ya sloti kwa dau dogo tuu uweze kukwapua maokoto ya nwezi huu wa Januari. Ingia mchezoni na ucheze.

Kwa upande wa Stoke City yeye atazichapa dhidi ya Brightonya Roberto De Zerbi ambao kushinda wamepewa ODDS 1.50 kwa 5.29. Mechi hii ina machaguo mengi zaidi meridianbet. Ingia na ubeti.

Huku saa 2:30 usiku Chelsea chini ya Pochettino watakuwa pale Stamford Bridge kucheza dhidi ya Preston North End ya Championship. Nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa The Blues akiwa na ODDS 1.15 kwa 12.74. Beti kishua hapa.

Vilevile Middlesbrough FC watakuwa wenyeji wa vijana wa Unai Emiry Aston Villa ambao ni moja kati ya timu ambazo zinafanya vyema sana kwa sasa kwenye ligi kuu wakiwa nafasi ya pili mpaka sasa. Kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.52 kwa 5.09. Beti sasa.

West ham United ya David Moyes nao wanasema wanalitka Kombe hili ambapo wao watakuwa pale London Stadium kuzichapa dhidi ya Bristol City ambao wamepewa ODDS 6.66 kushinda mechi huku Wagonga nyundo wa London wao wakipewa 1.37. Tengeneza jamvi lako hapa.

Naye Fulham majira ya saa 4:30 usiku atakiwasha dhidi ya Rotherham United ambayo inashiriki ligi daraja la kwanza ambapo inashikilia mkia kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi 3 kwenye michezo 26 aliyocheza. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.

Millwall atakuwa mwenyeji wa Leicester City ambaye ndiye kinara wa ligi daraja la kwanza Championship huku mwenyeji akiwa nafasi ya 15. Mechi hii imepewa ODDS 1.80 kwa 3.72. Jisajili na ucheze.

Sunderland ataumana dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe ambao walianza ligi vizuri lakini kwasasa wanasuasua wakiwa nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Je kesho wanaweza kupata ushindi wakiwa nyumbani kwao? Suka jamvi lako mapema leo.

Bournemouth FC watakuwa ugenini dhidi ya Queens Park Rangers ambayo ipo Championship wakiwa wamepewa ODDS 5.48 na mgeni akipewa 1.45. QPR yupo nafasi ya pili kutoka mwisho kwenye msimamo huku Bournemouth akiwa wa 12 EPL. Je nani ni nani hapo kesho?

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Kusanya maokoto na mechi za UEFA leo

Spread the love  LIGI ya mabingwa barani Ulaya inaendelea hii leo kwa...

Michezo

Mkwanja utaendelea kutoka leo kupitia ligi kubwa barani Ulaya

Spread the love LIGI mbalimbali barani ulaya zitaendelea kupigwa leoJumapili ambapo zitakuwezesha wewe...

Michezo

Leo ndiyo siku yako ya wewe kuwa milionea na Meridianbet

Spread the love  JUMAMOSI ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule EPL,...

Michezo

Unaachaje kuwa milionea ukibashiri na Meridianbet?

Spread the love  IJUMAA ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Laliga,...

error: Content is protected !!