Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Michezo Kwapua mapene Jumapili hii na Meridianbet
Michezo

Kwapua mapene Jumapili hii na Meridianbet

Spread the love

MTEJA wa meridianbet kama ilivyo ada kutusua mkwanja ni jambo la lazima sana kama utachagua sehemu sahihi ya kuwekeza mkwanja wako wa meridianbet na leo hii nchini Uingereza kombe la FA linaendelea na tayari meridianbet wameshakupatia ODDS za maana ingia sasa na ubeti.

Mechi kubwa ya FA ni Arsenal dhidi ya Liverpool majira ya saa 1:30 usiku katika dimba la Emirates huku mara ya mwisho walipokutana, walitoshana nguvu. Je leo hii kutakuwa na mbabe?. The Gunners kushinda amepewa ODDS 2.01 kwa 3.38. Nani atakupatia pesa leo hii?. Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Manchester City nao watakuwa pale Etihad kukabiliana na Huddersfield Town ambao wapo nafasi ya 21 kwenye msimamo wa Championship huku wakishinda mechi 5 pekee kati ya 26 walizocheza. Beti sasa.

Jumapili hii tunaanzia pale London ambapo West Ham Unitedchini ya kocha David Moyes watakuwa wenyeji wa Bristol Cityya ligi daraja la kwanza na wakiwa nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi hiyo. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.35 kwa 7.84. Suka jamvi lako hapa.

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Luton Town ambao wamepanda daraja msimu huu dhidi ya Bolton Wonderersambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.50 kwa 1.68. Je nani kuondoka na pointi tatu leo hii? Ingia meridianbet na ubashiri mechi hii.

Ukiachana na mechi hizo za FA CUP, pia meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya kasino ya mtandaonikama vile Poker, Aviator, Roullette, michezo ya Sloti na mingine kibao. Ingia na ucheze sasa kwa dau dogo tuu.

Nao Leeds watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Peterborough kwenye michuano hii ya FA Uingereza. Timu hizi zilipokutana mwaka 2016 Leeds alipoteza ilikuwa mechi ya kirafiki. Leo hii wanakutana kwenye michuano hii huku kila timu ikifanya vizuri kwenye ligi yake. 4.31 na 1.65 ndio ODDS za timu hizi mbili. Jisajili hapa.

Nottingham Forest ambao wnaa kocha mpya Nuno Santo watakuwa katika dimba lao la City Ground kukiwasha dhidi ya Blackpoool ya League 1. Nafasi ya kuondoka na ubabe leo hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.39 kwa 6.86. Nani ni nani leo hii. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale meridianbet.

Wakati West Bromwich wao watakuwa na kibarua cha kumenyana dhidi ya Aldershot Town majira ya saa 11:00 jioni. Mechi hii imepewa ODDS 1.20 kwa 10.78. Unadhani nani atakupatia pesa leo hii. Chagua vizuri uamke na mkwanja hapo kesho.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!