Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo Piga mkwanja na michezo ya FA leo kupia Meridianbet
Michezo

Piga mkwanja na michezo ya FA leo kupia Meridianbet

Spread the love

JUMAMOSI ya leo michuano ya kombe la FA itaendeleakupigwa nchini Uingereza na michezo mbalimbali itapigwakatika viwanja mbalimbali na kutoa fursa kwa wateja waMeridianbet kuweza kushinda mkwanja wa kutosha.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri kama ilivyo kawaidayao wamekua wakitoa ODDS KUBWA katika michezo ambayoinakua kwenye tovuti yao, Hii ni kuhakikisha wewe mteja waohaulali njaa na unauanza mwaka na tabasamu pana.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Chelsea leo watashuka dimbani kukipiga dhidi yaklabu ya Preston North End katika mchezo wa raundi ya tatu wamichuano ya kombe la FA, Huku matajiri hao kutoka jijiniLondon wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani.

Mchezo mwingine mkali utakua kati ya klabu ya Stoke Cityambao watakua nyumbani katika dimba lao la Britaniakuwakaribisha vijana wa kocha Roberto De Zerbi klabu yaBrighton Hove and Albion mchezo unaotarajiwa kua mkali.

Pale katika dimba la St. Marrys klabu ya Southampton itakuanyumbani kuikaribisha klabu ya Walsall, Southampton wanaonekana kupewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huulakini Walsall wanaweza kuwashangaza wengi.

Vinara wa ligi daraja la kwanza nchini Uingereza klabu yaLeicester City leo watakua ugenini kukipiga na Milwall katikamchezo wa raundi ya tatu wa kombe la FA, Mchezo huuunatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kutokana na fomu yatimu zote mbili.

Aston Vila watakua ugenini wakikipiga na wenyeji waoMiddlesbrough katika mchezo wa wa raundi ya tatu wamichuano ya kombe la FA, Huku vijana wa Unai Emery licha yaku ugenini wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushinda lichaya kua ugenini.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiana uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!