Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo La Liga kuendelea leo na mkwanja kuendelea kutolewa
Michezo

La Liga kuendelea leo na mkwanja kuendelea kutolewa

Spread the love

LIGI Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga kuendelea namichezo kadha itapigwa katika viwanja tofauti, Huku Meridianbet wao wakiendelea kuhakikisha wewe mteja waounaupiga mwingi kwa kushinda mkwanja.

Katika kuhakikisha unaupiga mwingi na kujishindia mkwanjamabingwa hao wa michezo ya kubashiri wameendelea kumwaga ODDS KUBWA ambapo kupitia Odds hizo wewe mteja waoutaweza kujishindia mkwanja kiurahisi kabisa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Hispania klabu ya Barcelonaleo watashuka dimbani wakiwa ugenini kukipiga na klabu yaLas Palmas, Huku wakitafuta nafasi ya kwenda nafasi ya tatukatika msimamo wa ligi hiyo baada ya Atletico Madrid kupotezakatika mchezo wa jana dhidi ya Girona.

Kipute kingine kikali kitapigwa pale katika dimba la Ramon Sanchez Pizjuan ambapo klabu ya Sevilla itakua nyumbanikuikaribisha klabu ya Athletic Club moja ya klabu vinavyofanya vizuri katika ligi hiyo msimu huu, Sevilla waowametoka mchezo wao wa mwisho ambapo leo watahitajikushinda ili kujikwmaua kutoka kwenye nafasi za chini.

Mchezo mwingine utakua kati ya klabu ya Osasuna ambaowatakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Almeria, Klabu yaAlmeria mpaka sasa wanashika mkia katika ligi kuu nchiniHispania wakiwa na alama tano hivo kushinda mchezo huuinaweza kuwapa nguvu ya kutaka katika mkiani kwenye ligihiyo.

Ukiachana na ligi kuu nchini Hispania La Liga lakini leo piakutakua na michezo mingine ambayo itapigwa na inawezakuwapa watu mikwnaja na kuanza vizuri mwaka, AmbapoJuventus watashuka dimbani leo katika mchezo wa Coppa Italia kukipiga dhidi Salernitana, Huku Crystal Palace wakikipigadhidi ya Everton katika mchezo wa raundi ya tatu wa michuanoya kombe la FA.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia https://a.meridianbet.co.tz/c/QARU7i na uweke mkekawako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!