Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Michezo Chelsea sasa wameanza kujipata
Michezo

Chelsea sasa wameanza kujipata

Spread the love

KLABU ya Chelsea chini ya kocha Mauricio Pochettinowanaonekana kama wameanza kujipata kutokana namatokeo yao ambayo wameanza kuyapata katika michezoyao ya hivi karibuni.

Msimu huu umeanza tofauti kwa klabu ya Chelsea ambapomatokeo yao yamekua sio ya kuridhisha, Lakini klabu hiyoimeonekana kubadilika katika michezo mitatu ya mwishoambayo wameicheza hivi karibuni.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Licha kuwepo nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi kuu yaUingereza lakini haiondoi kua matajiri hao wa jiji la Londonwameanza kuonesha mabadiliko katika michezo yao, Hivo kutoamatumaini makubwa kwa mashabiki wa klabu hiyo.

Moja ya matatizo ambayo yalikua yanaiandama klabu yaChelsea ni pamoja na majeraha ambayo yamekua yakiwandamabaadhi ya wachezaji wao wa kikosi cha kwanza, Ikielezwa nimoja ya sababu zilizofanya klabu hiyo kutokufanya vizuri.

Klabu ya Chelsea mpaka sasa imefanikiwa kutinga hatua yanusu fainali ya michuano ya Carabao Cup na leo watashukadimbani kumenyana na klabu ya Middlesbrough, Hiiimechangiwa na michezo yao mitatu ya hivi karibuni ambayowamecheza.

Vijana wa kocha Pochettino ni wazi wameanza kuibuamatumaini kwa mashabiki wa klabu hiyo ambao ni kamawalianza kuikatia tamaa timu yao, Lakini hivi karibuni klabuhiyo imeonesha mabadiliko makubwa katika michezo yakeambayo imecheza.

Kilichobakia kwa klabu ya Chelsea kwasasa ni muendelezo waambacho imekua ikikifanya hivi karibuni ili kuweza kurejeakwenye ubora wao ambao wamekua nao kwa takribani misimumitatu iliyopita ambayo walifanikiwa kutwaa taji la ulaya.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiana uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!