Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Michezo Anza mwaka kibabe na maokoto ya Meridianbet
Michezo

Anza mwaka kibabe na maokoto ya Meridianbet

Spread the love

 

MWAKA unaweza kuanza kibabe kabisa kwa upande wako kama utaweza kucheza kitaalamu na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ambayo inaendelea kumwaga Odds kila siku.

Ligi kuu ya Hispania La Liga leo itaendelea na michezo kadhaa itapigwa katika viwanja tofauti tofauti ambapo wewe mteja wa Meridianbet una nafasi kubwa ya kupiga mkwanja kupitia michezo itakayopigwa leo.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Real Madrid leo wakiwa katika dimba lao la nyumbani Santiago Bernabeu wataikaribisha klabu ya Real Mallorca katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania ambapo pia utashuhudia urejeo wa nyota wake Vinicius Jr aliyekosekana katika michezo kadhaa iliyopita kutokana na majeraha.

Mchezo mwingine utakua kati ya klabu ya Girona wanaokamata nafasi ya pili katika La Liga watakua nyumbani kumenyana na klabu ya klabu ya Atletico Madrid ambao wanashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo.

Klabu ya Celta Vigo ambao wanachechemea kunako ligi kuu nchini Hispania watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Real Betis ambayo ni moja ya timu zinazofanya vizuri, Mchezo unaotarajiwa kua mkali huku timu zote zikipewa ODDS KUBWA.

Klabu ya Granada leo watakua wenyeji wakiwakaribisha klabu ya Cadiz katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania, Mchezo utakua ni vita ya timu zilizoko chini kwenye msimamo kwani Granada wako nafasi ya 19 ambapo Cadiz wakiwa nafasi ya 17hivo mchezo huu utakua wenye ushindani mkubwa.

Michezo mingine ambayo itapigwa leo ambayo itakua fursa ya kupiga mkwanja ni kati ya PSG dhidi ya Tolouse kwenye kombe la Ufaransa, As Roma watakua nyumbani kumenyana na Cremonese katika mchezo wa Coppa Italia, Atalanta nao watakua nyumbani kukipiga na Sassoulo.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!