Monday , 4 March 2024
Home Kitengo Michezo Ushindi unaanzia na kubashiri na Meridianbet
Michezo

Ushindi unaanzia na kubashiri na Meridianbet

Spread the love

 

MERIDIANBET inasema hivi, mechi za EPL leo zinaendelea na wewe bado una nafasi ya kukusanya maokoto yako kama wikendi hukubahatika kujipigia mkwanja wa maana kwa leo magoli yapo kama mvua. Unasubiri nini sasa tengeneza jamvi lako na ubeti sasa.

Ndani ya EPL leo nyasi zitaanza kuwaka katika dimba la City Ground majira ya saa 4:30 ambapo Arsenal atakuwa mgeni wa Nottingham Forest ambaye yupo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wamewapa nafasi ya ushindi vijana wa Mikel Arteta kwa ODDS 1.37 kwa 7.64. Mara ya mwisho kukutana The Gunners walishinda. Je mwenyeji kulipa kisasi leo?. Suka mkeka wako hapa.

Huku katika dimba la Craven Cottage Fulham atakuwa akisaka pointi tatu dhidi ya Everton  huku timu hizi zikitofautiana pointi 7 pekee. Mwenyeji anashika nafasi ya 13 na mgeni wake akiwa nafasi ya 17. Mechi hii imepewa ODDS 2.43 kwa 2.94. Nani kuondoka na ushindi leo?. Jisajili na ubeti hapa.

Si mpira tuu pia meridianbet inatoa michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Vijana wa Roberto De Zerbi Brighton watakuwa na kibarua kigumu ugenini dhidi ya Luton Town ambaye naye pia alishinda mechi yake iliyopita. Luton kushinda mechi hii amepewa ODDS 4.11 kwa 1.75, huku mara ya mwisho kuonana Brighton alishinda. Tengeneza jamvi lako sasa.

Crystal Palace chini ya kocha mkuu Roy Hodgson watakuwa nyumbani pale Selhurst Park kumenyana dhidi ya Sheffield United huku timu zote zikiwa zilipoteza michezo yao iliyopita. Mgeni kapewa ODDS 5.88 kwa 1.62 kushinda mchezo huu. Ikumbukwe kuwa mgeni ni kibonde wa ligi hadi sasa. Je anaweza kufurukuta leo?. Beti sasa.

Aston Villa ya Unai atakipiga dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe huku meridianbet wakimpa bnafasi kubwa ya kushinda mchezo huu mwenyeji kwa ODDS 1.84 kwa 3.92. Mara ya mwisho kuonana Newcastle walishinda.

Tottenham Hot Spurs baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita atamkaribisha Brentford ya Thomas Frank. Mara ya mwisho kuonana walitoka sare. Mechi hii ina machaguo mengi pale meridianbet ingia na utandika jamvi lako hapa.

Kesho majira ya saa 5:15, Liverpool atakuwa Anfield kukiwasha dhidi ya Chelsea ya Pochettino. The Blues kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.60 kwa 1.58. Mechi 7 za mwisho kukutana wametoka sare. Je safari hii nani ataibuka na ushindi?. Ni Klopp au Mauricio?. Beti kijanja na Meridianbet.

Pia hapo kesho LALIGA itaendelea kwa mechi mbili pekee ambapo baada ya Barcelona kupoteza kwa aibu mechi yake iliyopita, kesho atakichapa dhidi ya CA Osasuna ambaye alilazimishwa sare mechi yake iliyopita. Vijana wa Xavi wamepewa ODDS 1.30 kushinda mechi hii kwa 9.01. Wewe beti yako unampa nani?

Mechi nyingine hapo kesho ni hii ambayo itawakutanisha vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid ambao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo dhidi ya Rayo Vallecano ambao wapo nafasi ya 13 hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao ni 20. 1.47 kwa 6.27 ndio ODDS za mechi hii. Nani kukupatia pesa meridianbet?

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Suka mkeka wako hapa na Meridianbet leo

Spread the love Habari mteja wa meridianebt?. Je wajua kuwa Jumapili ya...

Michezo

Unaanzaje Jumamosi Yako na Meridianbet Leo?

Spread the loveMpendwa mteja wa Meridianbet natumaini Jumamosi yako imeanza vizuri kabisa...

Michezo

Usikubali kupitwa ODDS KUBWA zipo Meridianbet pekee, bashiri sasa

Spread the love  LIGI mbalimbali duniani leo hii zinaendelea huku kwa upande...

Michezo

Ligi ya Mabingwa Afrika kuunguruma tena leo 

Spread the love  LIGI ya Mabingwa Afrika kuendelea leo na michezo kadhaa...

error: Content is protected !!