Tuesday , 30 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Kodi ya mishahara yashushwa 1%

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepunguza Kodi ya Mshahara (PAYE), kutoka asilimia tisa hadi nane. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Nitaongeza mishahara mwakani, 90,000 kupandishwa vyeo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewapa pole wafanyakazi waliokuwa na matarajio ya nyongeza ya mishahara na kuwaahidi kufanya hivyo Mei Mosi...

Habari za Siasa

Katibu mkuu CCM amuomba Rais Samia aongeze mishahara

  KATIBU Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aboreshe maslahi ya watumishi wa umma, kama...

Habari za Siasa

Watumishi 99 wadai milioni 300, Silinde atoa maagizo

  NASHON Bidyanguze, Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), amehoji lini watumishi waliohamishiwa halmashauri ya Uvinza kutoka Kigoma Vijijini watalipwa stahiki zao. Anaripoti Jemima...

Habari za SiasaTangulizi

CCM kufumuliwa upya

  SAMIA Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, amesema atashirikiana na viongozi wa chama hicho, kupitia upya sera na miongozo...

HabariHabari za Siasa

Chongolo amrithi Dk. Bashiru CCM, Shaka…

  DANIEL Chongolo, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, amethibitishwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za Siasa

Samia aota uchaguzi mkuu 2025

  MWENYEKITI mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho, kutekeleza vyema Ilani ya Uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Nyalandu, Mathew wajiunga CCM, Rais Samia asema…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo baada ya kuondokewa na wenyeviti wawili wa kanda na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

HabariHabari za Siasa

Majaliwa ajitosa ukaguzi mgodi Mirerani

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali imepokea na itayafanyia kazi malalamiko ya wabunge juu ya utaratibu wa ukaguzi unaofanywa kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Samia aweka rekodi mpya CCM

  WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemchagua kwa asilimia 100, Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa Mwenyekiti wa chama...

Habari za Siasa

Wajumbe asilimia 99 CCM watinga Dodoma

  JUMLA ya wanachama wa 1,862 Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho, wamehudhuria mkutano huo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Samia kupenya uenyekiti CCM? Mangula apambana

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Phillip Mangula, amewaomba wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa chama hicho, kumchagua Rais...

Habari za SiasaTangulizi

CCM: JPM amekiacha chama pazuri

  KAIMU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rodrick Mpogolo, amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Hayati Dk. John Magufuli, amekiwezesha chama...

Habari za SiasaTangulizi

Samia apitishwa 100% kugombea uenyekiti CCM

  HALMASHAURI Kuu ya chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM), nchini Tanzania, imempitisha kwa asilimia 100, mjumbe wa kamati kuu ambaye ni Rais,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kigwangalla atiwa matatani tena

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, ametengua uamuzi wa mtangulizi wake, Dk. Hamis Kigwangalla, wa kufuta umiliki wa kitalu cha...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG: Ukwapuzi mabilioni TEITI yadaiwa bungeni

  TAARIFA ya uchunguzi maalumu wa upotevu wa fedha kiasi cha Sh. 90 Bilioni, aliyonayo Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), inadaiwa...

Habari za Siasa

Msukuma amtuhumu RC Geita, wenzake kujilipa posho milioni 600

  MBUNGE wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Msukuma amesema, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel na timu yake wamejilipa Sh.600 milioni, fedha...

Habari za Siasa

Serikali kununua vifaa tiba vya Mil 500 Busega

  SERIKALI imetenga Sh. 500 Milioni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali ya Busega, Simiyu. Anaripoti Jemima Samwel DMC …...

Habari za Siasa

Bunge latuhumu mabaraza ya kata

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, imeshauri Mabaraza ya Kata yaunganishwe kwenye mfumo wa mahakama, ili kudhibiti mianya ya rushwa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Kabudi avunja ukimya sakata Masheikh wa Uamsho

  PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Katiba na Sheria, amewataka Watanzania kutoingilia kati sakata la Masheikh 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara...

Habari za Siasa

Kesi za madai, Serikali ya Tanzania yaokoa bilioni 132

  SERIKALI ya Tanzania, imeokoa Sh.132.24 bilioni, baada ya kushinda kesi mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za Siasa

Mbunge CCM alia ukata vituo vya Afya Segerea

  BONNA Kamoli, Mbunge wa Segerea, jijini Dar es Salaam (CCM), ameihoji Serikali, lini itaongeza vituo vya afya katika jimbo hilo, ili kuondoa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaanza safari kumpata mrithi wa Magufuli

  SAFARI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpata mwenyekiti mpya wa chama hicho, imeanza rasmi jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Tumieni mbinu mbadala kujilinda na wanyamapori- Serikali

  WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania, imewahimiza wananchi walio karibu na hifadhi za wanyamapori, kutumia mbinu mbadala ili kuwadhibiti wasiingie kwenye...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema aibana Serikali bungeni

  AIDA Khenani, Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amehoji lini Serikali itapeleka fedha jimboni humo, kwa ajili...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahoji ahadi ya Hayati Magufuli, ajibiwa

  SERIKALI imepanga kuendeleza ujenzi na matengenezo ya barabara nchini ikiwemo Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, kadri ya upatikanaji wa fedha. anaripoti Jemima Samwel...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba: Tunapima uvumilivu wa Rais Samia

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kitampima Rais Samia Suluhu Hassan, kuhusu ustahimilivu wake katika masuala ya kisiasa, kwa kufanya mikutano ya hadhara....

Habari za Siasa

Wizara Maliasili yabanwa bungeni

  WIZARA ya Maliasili na Utalii, imejikuta katika wakati mgumu baada ya kuhojiwa kwa nini wananchi wanaoingiza mifugo katika hifadhi za wanyama pori,...

Habari za Siasa

Bilioni 8.4 zatengwa ujenzi mifereji ya maji Mbweni

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh.8.4 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa mirefeji ya maji katika maeneo ya Mbweni mkoani Dar es Salaam....

Habari za Siasa

Rais Samia asamehe wafungwa 5,001

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa msamaha kwa wafungwa 5,001 waliokuwa wakikabiliwa na adhabu ya vifungo mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Shibuda: Kuna ombwe la siasa za utaifa, uzalendo

  MWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania, John Shibuda, amesema, kuna ombwe la makada wa kuendeleza siasa za utaifa na...

Habari za Siasa

Fedha za sherehe za Muungano kugawanywa

  RAIS wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, ameagiza fedha zilizopangwa kufanya sherehe za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango: Sitovumilia atayebeza Muungano

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amewaonya watu wanaobeza muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ulioasisiwa tarehe 26 Aprili 1964. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mama Mongella: Msimtilie shaka Rais Samia

  MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Getrude Mongella, amewataka Watanzania kutokuwa na wasiwasi juu ya uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita wa Tanzania,...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu kurejea nchini muda si mrefu

  ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametaka kuhakikishiwa usalama wake na serikali, ili aweze kurejea nchini....

Habari za SiasaTangulizi

DED Temeke, Sumbawanga wasimamishwa kazi

  LUSUBILO Mwakabibi, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Nyangi Msemakweli, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, wamesimamishwa kazi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika: Rais Samia amejibu barua ya Mbowe

  JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania- Chadema amesema, Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, amekubali wito wa...

Habari za SiasaTangulizi

Nape ashauri Mdee na wenzake wafukuzwe bungeni

  MBUNGE wa Mtama (CCM), Nape Nnauye, ameshauri wabunge viti maalum 19, waliovuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waondolewe bungeni....

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aichambua hotuba ya Rais Samia, aibua hoja

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, amesema alitarajia kuona Rais Samia Suluhu Hassan, anatumia muda mrefu kuzungumzia...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la kufukuzwa Chadema: Kishoa ajichanganya bungeni

  JESCA Kishoa, mbunge wa Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), ameuthibitishia ulimwengu, kuwa kuwako kwake bungeni, ni kinyume na amefutwa uanachama katika Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ataka sheria kandamizi zirejeshwe bungeni kufanyiwa marekebisho

MBUNGE wa Mahonda, Unguja, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdullah Mwinyi, ameshauri sheria zinazokandamizi misingi ya demokrasia na utawala bora, zirudishwe bungeni kwa...

Habari za Siasa

Waziri Aweso awatumia salamu wahandisi, wakandarasi

  WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wahandisi na wakandarasi kujiandaa na mabadiliko yatakayofanyika yenye lengo la kuboresha ufanisi. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi wawili

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Hedwiga Swai kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Nape awapigania walimu bungeni, ataka tume iundwe

  MBUNGE wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, ameitaka Serikali ya Tanzania, iunde tume maalum ya kuchunguza madai na stahiki...

Habari za Siasa

Rais Samia aendelea kuteua viongozi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea). Uteuzi huo, umetangazwa jana Alhamisi,...

Habari za Siasa

Rais Samia aonya wanaotumia mitandao ya kijamii kuchonganisha

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameonya Watanzania wanaotumia mitandao ya kijamii kuchonganisha watu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Kiongozi huyo wa Tanzania...

Habari za Siasa

Ikosoeni serikali – Rais Samia

  MAMA Samia Suluhu Hassan, Rais wa Awamu ya Sita wa Tanzania, amewataka wabunge kuikosoa serikali yake, pale inapofanya vibaya. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Rais Samia: Mwendo ni ule ule

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, wale wanaodhani usimamizi wa rasilimali za nchi, ukwepaji kodi, rushwa vimekwenda na Hayati John Magufuli,...

Habari za Siasa

Rais Samia kukutana na wapinzani

  RAIS wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, amesema anapanga kukutana na viongozi wa vyama vya siasa, ili kujadili namna ya kuiendesha...

Habari za Siasa

Rais Samia amsifu Dk. Magufuli, amtaja Dk. Kikwete, Karume

  RAIS WA Tanzania, Samia Suluhu Hassa, amesifu uongozi wa kutukuka wa mtangulizi wake, Hayati John Magufuli huku akimtaja Rais Mstaafu wa Zanzibar,...

error: Content is protected !!